Hiyo Grenadier haitokuwa na jipya kwenye uwanja wa off road. Hawa gari zao wameweka injini za BMW ambapo mwenzao Land Rover Defender aliwahi kutumia na hazikufanya vizuri.
Pia wanaweka coil spring mbele na nyuma.Toyota muache auze maana Kwenye Series 70 ambayo ni Heavy Duty kwenye Off Road mabadiliko anafanya kijanja kwenye facelift,kuweka spring mbele na injini kuboresha.
L/Cruiser kwenye series 75/76/78/79 katumia 1HZ injini kama injini mama ingawa alijaribu kuweka 13B,1PZ na saizi kaitia 1VD baada ya kufanya vyema kwenye series 200.
Land Rover Defender katumia Td200 akaja Bmw, akaboresha Td200 ikaja T300 na hapo saizi matoleo ya mwisho katumia Td5.