Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.
sasa unataka tumlaumu nani wewe m j i ng@. kuna mtu asiyependa kusomesha watoto? Mshahara wenyewe mdogo harafu elimu ya chuo kikuu gharama. Nyamba_fu
Kama mdogo mwambie atafute kazi yenye mshahara mkubwa unataka board iwape wote hata kama hawana uwezo huo?

Sababu elimu yako ya darasa la saba isikufanye ukawa na uchungu unapo watu wanasikitikia ndoto zao kuishia njiani....! Mamake!!!
Kama mdogo mwambie atafute kazi yenye mshahara mkubwa unataka board iwape wote hata kama hawana uwezo huo?
msihangaike na huyo mpuuzi, hayo anayoyaongea anaongea akiwa amekalia kitu kigumu!mkuu nahc unajarib kuzima moto kwa petrol, ushaur inawezekana ni mzur umeshindwa kujua ni wakat gan ungeuwasilisha.kwa sasa ingekua poa kutoa solutions zaidi kuliko hayo uliyoyasema
Sasa mkuu naona huna hoja! Hapa mzazi anaingiaje? Hivi ni mzazi gani mkulima anaweza kupata zaidi ya 3m za kumlipia mtoto? Bodi sharti ipate lawama, maana system yao jinsi ilivyokaa siyo rahisi kumbaini mtu mwenye uwezo ndo maana hata ninyi matoto ya mafisadi mmpata mikopo na ndo maana unapata kibri ya kuja kutukana watu humu! Hivi hii Bodi isiyokuwa na maono ingekuwa inatoa fedha kidogo kidogo kwa kila mwombaji nini kingeharibika? Badala ya kujitapa kuwa watatoa kwa watu wote kumbe sivyo?! Lets say, kila mwombaji angepewa 70% au 80%, ili kile kinachopungua kila mmoja akajilipia. Hapa kwa mfano aliyepata 3.876 m angechangia 1.163 m kwa mwaka, huku waombaji wote wakiwa wamepata mikopo bila kujali priority courses! Anyway, nawashukuru kwa kunipa 100% ya mkopo, MUNGU awabariki huku wakijipanga kuzikabiri changamoto nyingi zilizopo kwenye hili zoezi la utoaji mikopo!