Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.