Kwanini lawama kwa HESLB tu.

Kwanini lawama kwa HESLB tu.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.
 
Sababu elimu yako ya darasa la saba isikufanye ukawa na uchungu unapo watu wanasikitikia ndoto zao kuishia njiani....! Mamake!!!
 
ndugu uliye post hii thread unakosea sana, kumbuka kuwa hata hao wabunge na mawaziri walisomeshwa kwa pesa za walipa kodi why us?? kwani wao wazazi wao hawakuwa na uwezo? na wewe upo kwenye kundi gani ? si ajabu na wewe pia ulisoma kwa pesa za walipa kodi, please usizidi kuwatia watu uchungu kwani kiukweli inaumiza mnoooooo kukosa mkopo.mnona wengine wanapata na baba zao ni mawaziri na wabungee sembuse sisi watotoamboa wazazi ni walimu wa primary school!!!
 
sasa unataka tumlaumu nani wewe m j i ng@. kuna mtu asiyependa kusomesha watoto? Mshahara wenyewe mdogo harafu elimu ya chuo kikuu gharama. Nyamba_fu
 
Kama mdogo mwambie atafute kazi yenye mshahara mkubwa unataka board iwape wote hata kama hawana uwezo huo?
 
wewe ni msemaji wa bodi?mbona una wakingia kifua?ni haki ya kila mwanafunzi kupata mkopo.
 
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.

Utazaa pia na wewe siku moja..na utajua kwamba wazazi wengine hukosa si kwa kupenda ila kwa kadari ya muumba..
 
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.

fak yuu
 
bnafx utakuwa una matatzo hao wengine waliopewa wazaz wao una hakka hawawez kuwaxomexha o blah blah acha hzo ww watu wako serious kuna wengine ni yatima na kakosa unaleta zengw
 
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.

acha usenge nyaji we milembe ongea mambo makuuma mawili ya maana unatuletea usengesenge nyaji apa..jiheshimu watu wanasononeka we unaleta umaku maku..
 
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya kuingia chuo na kutimiza ndoto zao ila kwa wale wenye wazazi wote wawili kumbukeni kuwatupia lawama hizo kwa kushindwa kuwawekea mazingira mazuri ya kuwapatia elimu pasipo stress na iwe fundisho kwenu ninyi na watoto wenu muweze kuandalia mazingira mazuri ikiwemo kusoma bila kutegemea mkopo,NIMEMALIZA.

Ka kweli ni mzalendo U didn't show love 4 us wahanga na bod kabisa
Then God bless U
Coz no 1 iz perfect one day bro utajikwaa az sisi nau
 
Kama mdogo mwambie atafute kazi yenye mshahara mkubwa unataka board iwape wote hata kama hawana uwezo huo?

Acha akili za kitoto kijana ukue sio unaandka tu kumfurahsha nani na watu wanamachungu?,jitambue tafadhali
 
Sasa mkuu naona huna hoja! Hapa mzazi anaingiaje? Hivi ni mzazi gani mkulima anaweza kupata zaidi ya 3m za kumlipia mtoto? Bodi sharti ipate lawama, maana system yao jinsi ilivyokaa siyo rahisi kumbaini mtu mwenye uwezo ndo maana hata ninyi matoto ya mafisadi mmpata mikopo na ndo maana unapata kibri ya kuja kutukana watu humu! Hivi hii Bodi isiyokuwa na maono ingekuwa inatoa fedha kidogo kidogo kwa kila mwombaji nini kingeharibika? Badala ya kujitapa kuwa watatoa kwa watu wote kumbe sivyo?! Lets say, kila mwombaji angepewa 70% au 80%, ili kile kinachopungua kila mmoja akajilipia. Hapa kwa mfano aliyepata 3.876 m angechangia 1.163 m kwa mwaka, huku waombaji wote wakiwa wamepata mikopo bila kujali priority courses! Anyway, nawashukuru kwa kunipa 100% ya mkopo, MUNGU awabariki huku wakijipanga kuzikabiri changamoto nyingi zilizopo kwenye hili zoezi la utoaji mikopo!
 
mkuu nahc unajarib kuzima moto kwa petrol, ushaur inawezekana ni mzur umeshindwa kujua ni wakat gan ungeuwasilisha.kwa sasa ingekua poa kutoa solutions zaidi kuliko hayo uliyoyasema
 
msihangaike na huyo mpuuzi, hayo anayoyaongea anaongea akiwa amekalia kitu kigumu!
 
Daaah Kwel Mwenye Shibe Hamjui Mwny Njaa!!!Chunga Mdomo Wako Ndugu Kuna Wengine Lkn Wanasifa zote za kupata mkopo ikiwemo kukosa wazazi wote wawili,Pia Course zao Zinapriority,Ndugu Ungekaa Kimya tu Usiwaone wa wapuuz serikal kuweka bodi ya mikopo.
 
Kuna watu wanatoa wanatukana pasipo hoja mimi nimetoa ushauri tu kwamba mzazi awe wa kwanza kulaumiwa kwa kushindwa kukusomesha kwani hakuna wazazi wakulima wanaosomesha watoto wao vyuo vikuu hata hivyo sio lazima wote wapate.
 
Hawa watu waliokosa loan wanahitaji kufarijiwa, lugha uliyotumia haina hata chembe ya huruma. Imagine ungekuwa ww
 
Sasa mkuu naona huna hoja! Hapa mzazi anaingiaje? Hivi ni mzazi gani mkulima anaweza kupata zaidi ya 3m za kumlipia mtoto? Bodi sharti ipate lawama, maana system yao jinsi ilivyokaa siyo rahisi kumbaini mtu mwenye uwezo ndo maana hata ninyi matoto ya mafisadi mmpata mikopo na ndo maana unapata kibri ya kuja kutukana watu humu! Hivi hii Bodi isiyokuwa na maono ingekuwa inatoa fedha kidogo kidogo kwa kila mwombaji nini kingeharibika? Badala ya kujitapa kuwa watatoa kwa watu wote kumbe sivyo?! Lets say, kila mwombaji angepewa 70% au 80%, ili kile kinachopungua kila mmoja akajilipia. Hapa kwa mfano aliyepata 3.876 m angechangia 1.163 m kwa mwaka, huku waombaji wote wakiwa wamepata mikopo bila kujali priority courses! Anyway, nawashukuru kwa kunipa 100% ya mkopo, MUNGU awabariki huku wakijipanga kuzikabiri changamoto nyingi zilizopo kwenye hili zoezi la utoaji mikopo!

selfish at its best. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom