chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa.
Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia.
Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano wa Mbinga, si Lemma yule anayefahamika kwa kufoka, ujasiri mithiri ya mtu anayeweza kutafuna kokoto kwa meno yake.
How safe is chadema so far...? Wanaaminiana kiasi gani?