Kuni ita Mimi mpumbavu hakuondoi ukweli, Simba kwa miaka ya hivi karibuni wamefanya Mambo mengi ya hovyo ili kupata ubingwa, Kwa kumtumia Makonda Simba waliweza kumuondoa Manji Yanga. Kwa kuwatumiaTff Simba waliwa dhoofisha Yanga angalia sakata la Morrison Tff wamehusika kwa 100%. Wewe bado kijana mdogo Mambo ya mpira wa nchi hii ni fitina tu.