othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Lisu kamatia hapohapo usiachie uvccm na chawa wa sultan usingizi haujiZipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu kamatia hapohapo usiachie uvccm na chawa wa sultan usingizi haujiZipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
Unateseka sana, Lisu ndiye mwenyekitiunafiki na usaliti ni kitu mbaya sana gentleman,
we cheki hiyo smile yake yenyewe ilivyo ya kimbwa mwitu![]()
Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
fntaz.com
Hivi wewe ni ke au me? Swali gani la kishoga hili unaleta kwa gt? Chuki yako kwa Lissu imevuka mipaka.Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
Huwa ishara ya uoga,aibu na kutojiamini.Mchawi hatazamwi usoni 🐼
Lissu MNAFIKI sana na SNITCH ndiyo maana hawezi kumuangalia Mbowe usoni.Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
Mchawi hafumbagi macho!Huwa ishara ya uoga,aibu na kutojiamini.
Tunaowaombeaga watu wenye nguvu za giza,ukimkazia macho pepo, au mchawi,hakuangalii au anafumba macho.
Sawa, tufanye umeshinda mkuuMchawi hafumbagi macho!
Mkuu unaongeaga utumbo mwingi uliolainishwa na neno gentleman 😁😁😁😁unafiki na usaliti ni kitu mbaya sana gentleman,
we cheki hiyo smile yake yenyewe ilivyo ya kimbwa mwitu![]()
Chuki zenu kwa Lissu haziwezi kuwafanya wana Chadema wenyewe wasimpe kura.Lissu MNAFIKI sana na SNITCH ndiyo maana hawezi kumuangalia Mbowe usoni.
Dhambi ya USALITI kwa mtu aliyeoloa maisha yake baada ya kuoigwa risasi 16 inamtafuna
No ukitaka kuua nyani usimuangalie usoni, utamuonea hurumaunafiki na usaliti ni kitu mbaya sana gentleman,
we cheki hiyo smile yake yenyewe ilivyo ya kimbwa mwitu![]()
Huyo madam Tlaatlaah ni mpuuzi sanaMkuu unaongeaga utumbo mwingi uliolainishwa na neno gentleman 😁😁😁😁
Shahidi Mshana Jr 😂Sawa, tufanye umeshinda mkuu
Ni hulka ya mtu mnafiki, mwongo, kizabazabina na mfitini!Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha. View attachment 3198658
kwahiyo kuna nyani na mbwa mwitu hapo gentleman 🐒No ukitaka kuua nyani usimuangalie usoni, utamuonea huruma
ni muhimu zaidi ungeongea maini machache ya maana sasa gentleman kwa faida ya wadau wa JF, badala ya kuelezea kongongoro na supu ya kichwa 🐒Mkuu unaongeaga utumbo mwingi uliolainishwa na neno gentleman 😁😁😁😁