Kwanini Lissu alikuwa na wagombea wake uchaguzi CHADEMA? Huu ndio ubaguzi aliompinga Mbowe?

Watu wanachungulia , kama huamini mwambie heche , lema na Lissu wachapishe andiko ktk x yao, uone comment ambazo ni negative kwak
X? Kwani chadema ni twitter? Wajumbe wameongea na wanachama wameongea nyie endeleeni kupiga kelele tu mitandaoni ila wananchi wanataka mabadiliko. Huyo Mama yenu unadhani anakubalika na nani? Subiri oktoba akiwa anazomewa majukwaani ndio utaelewa.
 
Baada ya kushika madaraka yamekuwa hayo? Lema kila wakati alikuwa akipost. Hivi sasa akipost kuikosoa ccm anapata negative comments na hawezi kuvumilia. Matusi yake kwa mbowe ni makubwa lkn mbowe kavumilia lkn yeye comments tu hazitaki. Anataka comments za uchawa
 
Ulitaka aandikaje? Yeye alikuwa mgombea na anatafuta uungwaji mkono, na moja ya sera zake ni kuweka ukomo kwenye nafasi za Ubunge na udiwani viti maalumu ili wanawake wengi zaidi wapate nafasi.

Pia, kama kweli kwamba leo ndio unaikuta hii post yake pale X maana yake hukufualitia uchaguzi wa Chadema wala kusikiliza sera za wagombea, au bado uko kwenye denial stage. Heal.
 
Comments? Hahhaha si mlisema clubhouse na Twitter hakuna wapiga kura leo ndio unaamini comments za Twitter? Kweli mmeishiwa hoja.

Ni hivi, Rais Samia popularity imeshuka sana kwahiyo uwapende chadema usiwapende ndio wana upepo kuelekea chadema maana watu wameshamchoka Mama yenu. Ufisadi kila kona na umaskini wa kutisha.
 
Lissu hapa amefeli
 
Ccm waangalie kwa jicho la pili. Chadema watu 50 ndio wamtikishe Samia? Nyinyi akili hizi mnaziweka wapi
 
Ccm waangalie kwa jicho la pili. Chadema watu 50 ndio wamtikishe Samia? Nyinyi akili hizi mnaziweka wapi
Sawa subir kampeni, kama JPM kuna maeneo hadi alitishia wapiga kura licha ya kuonekana anakubalika sana sembuse huyu Mama yenu!! Labda muibe kura tu ila watanganyika hawawezi kubali kuongozwa na Rais mdhaifu hivi!! Tumechoka kuwa koloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…