Kwanini Lissu alikuwa ndo mwanasiasa wa kwanza kuulizia alipo Rais Magufuli?

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
 
Baadhi ya watu kwenye mfumo ambao hawakumpenda Magu ndo walimwambia Lissu. Usitudanganye eti Lissu alihusika.
 
..kwanini Rais Magufuli hakumtibu Lissu baada ya kushambuliwa?

..matendo ya Magufuli, serikali yake, na Bunge, dhidi ya Tundu Lissu, baada ya kushambuliwa, yalijenga picha mbaya kwa nchi yetu.

Mkija kuelewa mtakuwa mmechelewa
 
Utulie watakutumia na kutafuta namna ya kukuumiza. Sasa si Bora ufunguke ifuatilie Mambo ya msingi kwa mustakabali wa Tanganyika?
Mimi siongoi kama MTU wa mtaani ndo maana huwa nawaambia vijana TZ hamna upinzani na hatujawahi kuwa na upinzani
 
Elezea lengo la uzi wako una maanisha ni nini wewe kutokua sio mtu wa mtaani haituhusu wewe kiazi
 
Mimi siongoi kama MTU wa mtaani ndo maana huwa nawaambia vijana TZ hamna upinzani na hatujawahi kuwa na upinzani

..kama hatujawahi kuwa na upinzani basi ni kutokana na ubaya, dhuluma, usaliti, na hujuma, kutoka kwa Ccm. Kwa msingi huo wabaya na wasaliti wetu ni Ccm.
 
Sisiemu haujawahi kuwa tatizo hata TAL analijua hilo
 
..Polepole anasema sasa nchi imekuwa kama haina mwenyewe.

..hata maelekezo na maamrisho ya Raisi yanapuuzwa.

..Na inaelekea Rais ameridhishwa na hali hiyo. Kila mtu afanye anavyotaka.
 
Yupo sahihi Ila nikuambie mkuu , Lissu alikula hela za watu na akagoma kupiga kimya Kama wenzie
 
Back
Top Bottom