Kwanini Lissu alikuwa ndo mwanasiasa wa kwanza kuulizia alipo Rais Magufuli?

Yupo sahihi Ila nikuambie mkuu , Lissu alikula hela za watu na akagoma kupiga kimya Kama wenzie

..huyo ndio mzalendo.

..hata wewe kula hela za Ccm ila usifanye wanayokutuma.

..Na Magufuli na Ndugai walipaswa kumtibu Lissu aliposhambuliwa.
 
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
Unatafuta umaarufu kupitia Lissu??
 
Umechelewa sana Lissu labda alikua wa katikati au mwishomwisho huko . Magu aliuliziwa sana hata Mimi niliuliza kabla ya lisu
 
..kwanini Rais Magufuli hakumtibu Lissu baada ya kushambuliwa?

..matendo ya Magufuli, serikali yake, na Bunge, dhidi ya Tundu Lissu, baada ya kushambuliwa, yalijenga picha mbaya kwa nchi yetu.
Magufuli ndiye aliamuru Tundu Lissu auwawe kwa kupigwa risasi
 
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
Umeandika nini? We ni bongozozo kwl, sasa hapo umeandika nini
 
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
Msitutoe kwenye agenda, kwendaaa
 
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
Naona umesahau, siyo kuuliza tu, alieleza kuwa tayari asharudisha namba, kabla hata Serikali haijaanza kujibaraguza!
 
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?

Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
🤣🤣🤣sasa ulitaka CCM imtafute mwenyekiti wao?? Wao wana-access na IKULU nk.

Wananchi wa kawaida kama Lissu walikuwa watu sahihi.
 
Kipindi mchi nzima mmejifungia vyumbani na wake zenu,ni LISSU pekee kwa Watanzania 61M aliyekuwa ana mkosoa Magufuli.
Ndio maana Magufuli alipata hasira yani Watanzania wote wamefyata lakini yeye Lissu tu ndio kimbelembele,akaamua umpige chuma
 
Back
Top Bottom