Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Endeleni kutumika mtakuja kujua ukweli mkiwa mshaumizwa.It's gone; Be a Man and move on! Tuna agenda ya Muhimu.
Lissu ni IV-innocent victim akija kuelewa atakuwa kashaumia Sana .Kwanini Lissu alilalamika Kuna gari linamfuatilia siku chache kabla hajapigwa risasi??????????
Lissu ni IV-innocent victim akija kuelewa atakuwa kashaumia Sana .
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?
Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
Utulie watakutumia na kutafuta namna ya kukuumiza. Sasa si Bora ufunguke ifuatilie Mambo ya msingi kwa mustakabali wa Tanganyika?Endeleni kutumika mtakuja kujua ukweli mkiwa mshaumizwa.
..kwanini Rais Magufuli hakumtibu Lissu baada ya kushambuliwa?
..matendo ya Magufuli, serikali yake, na Bunge, dhidi ya Tundu Lissu, baada ya kushambuliwa, yalijenga picha mbaya kwa nchi yetu.
Mimi siongoi kama MTU wa mtaani ndo maana huwa nawaambia vijana TZ hamna upinzani na hatujawahi kuwa na upinzaniUtulie watakutumia na kutafuta namna ya kukuumiza. Sasa si Bora ufunguke ifuatilie Mambo ya msingi kwa mustakabali wa Tanganyika?
Elezea lengo la uzi wako una maanisha ni nini wewe kutokua sio mtu wa mtaani haituhusu wewe kiaziMimi siongoi kama MTU wa mtaani ndo maana huwa nawaambia vijana TZ hamna upinzani na hatujawahi kuwa na upinzani
Mimi siongoi kama MTU wa mtaani ndo maana huwa nawaambia vijana TZ hamna upinzani na hatujawahi kuwa na upinzani
Sisiemu haujawahi kuwa tatizo hata TAL analijua hilo..kama hatujawahi kuwa na upinzani basi ni kutokana na ubaya, dhuluma, usaliti, na hujuma, kutoka kwa Ccm. Kwa msingi huo wabaya na wasaliti wetu ni Ccm.
Sisiemu haujawahi kuwa tatizo hata TAL analijua hilo
Yupo sahihi Ila nikuambie mkuu , Lissu alikula hela za watu na akagoma kupiga kimya Kama wenzie..Polepole anasema sasa nchi imekuwa kama haina mwenyewe.
..hata maelekezo na maamrisho ya Raisi yanapuuzwa.
..Na inaelekea Rais ameridhishwa na hali hiyo. Kila mtu afanye anavyotaka.