Ndugu yangu@chiembe, kwa maneno yako haya, una maanisha watu tusiokuwa na hulka ya matusi tusiwemo humu JF, haipendezi platform kama hizi kuwa dictator wa mawazo. Unaweza kutetea hoja zako ama uka counter hoja kinzani bila matusi. Inawezekana ndugu yangu.