Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

kwani pesa unyaolipwa mshahara si ya umma, je unalipwa pale Kariakoo mbele ya umma?.
Wewe mbuzi, mkia wako haujawahi kuficha aibu yako, jitahidi uwe na akili hata za kupigia chafya, mshahara ukileta shida unaenda pale Wizara ya Fedha mchana kweupe
 
Wewe mbuzi, mkia wako haujawahi kuficha aibu yako, jitahidi uwe na akili hata za kupigia chafya, mshahara ukileta shida unaenda pale Wizara ya Fedha mchana kweu

Wewe mbuzi, mkia wako haujawahi kuficha aibu yako, jitahidi uwe na akili hata za kupigia chafya, mshahara ukileta shida unaenda pale Wizara ya Fedha mchana kweupe
Ndugu yangu@chiembe, kwa maneno yako haya, una maanisha watu tusiokuwa na hulka ya matusi tusiwemo humu JF, haipendezi platform kama hizi kuwa dictator wa mawazo. Unaweza kutetea hoja zako ama uka counter hoja kinzani bila matusi. Inawezekana ndugu yangu.
 
..Na Lissu angewafuata hotelini, ungeuliza kwanini waandishi wa habari hawakuitwa, au kwanini hawakuita mkutano wa hadhara.
 
Back
Top Bottom