kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Halipo sehemu ya swali langu ,kama unataka kuuliza swali hiliWewe ni mfuasi wa nani kati ya mbowe & Lissu
Huna hojaHalipo sehemu ya swali langu ,kama unataka kuuliza swali hili
Fungua thread nitakujibu
Ndugu wana Jamvi !
Mimi nimevuka salama kabisa
Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe
Jibu hilo swalii.
Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea.
Mboye nayeye anagombea kama wewe
Na wanotoa ushind ni wajumbe
Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila mara.
Majibu yangu ni kwamba hata CHADEMA NI MAMAFIA KWENYE UCHAGUZI KAMA CCM .
Kama ndivyo kwanini usijitoe kugombea KAMA UNAHISI UCHAGUZI HAUKO HURU.
JIBUNI WAFUASI WA LISU /LISU
Sawaaa mkuuuBila shaka wewe ni mfuasi wa Lipumba wa kesho kama si CCM kindaki ndaki:
View attachment 3190301
Tulieni hivyo hivyo dawa iwaingie!
Kwanini mkuuuMkuu huu uandishi wako mbona una ukakasi
Huu ndio ukweli mchunguLissu kaingia chumba cha sindano atibiwe ugonjwa wake, sasa badala asubiri daktari (uchaguzi), yeye analia machozi na kupaza sauti, mara ohhhoo, mbona sindano kubwa sana, mara ohooo, mbona daktari ana mikono kama ya baunsa, mara ohooo, daktari ana macho makali, mara ohooo, nilishakuwa na ugomvi naye
Kuna kura za hurumaNdugu wana Jamvi !