Uchaguzi 2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

Yericko Nyerere, utauficha wapi uso wako baada ya matokeo kutangazwa!!? Umeshakuwa na jina kubwa epuka sana kutoa hoja ambazo mwisho wa siku zitakupunguzia kuaminiwa kwako na jamii. Mwisho.
 
All in all, kumpigia kura Magu yataka moyo.

Ipo mingi sanaaaaaaa
Ya kumpigia iliyo na upendo, hekima, busara na maarifa n.k.

Leo nawaonea huruma ewooooo.. poleni.. majibu yako nakuambiaga kutumbuliwa majibu na wenzako mkaweka hasira.. mumeona haziwapeleki popote.. musipende kudokoa vya za Umma.. eboo.. mufanye kazi hata kuanza na kibali za 20K

💚💛💚💛💚
 
Hata uwe huru na wa HAKI Haiwezekani hata kidogo unajua maana ya asilimia 93 maana yake MAGUFULI apate na vyama vingine vigawane 7 ... sasa mtu wa hivyo kweli ni mchambuzi au shabiki maandazi tu
Takwimu mufilisi hizi
 
Ni siku Mpya ikiwa na Tumaini jipya, tarehe 29 Oktoba saa 11:44 Asubuhi tukafanye yale tuliyoyaimba kwa miaka mitano sasa. AMANI IDUMU
 
Sijaona hata sababu moja ya kumfanya Lissu kupigiwa kura ya ndio, Lissu atapata kura chache Sana kuliko unavyo dhani,

Lissu amesikilizwa na wengi ila wengi zaidi ya walio msikiliza waliishia kutokumuelewa na wengine kumdhara,

Lissu hawezi kuchaguliwa wala kuendelea zaidi ya hapo Tanganyika Peckers hapo ndio alihitimishia kila kitu chake kisiasa hasa alipo malizia kwa kuwadanganya watu eti karusha chopa kimabavu bila kibari
 
Huyo polisi mbona kuachia tabasamu hivyo? Atafutwa kazi huyu!
 

Yericko nilinunua kitabu chako na yaliyo andikwa humo ndani nilikuchulia kwa level nyingine na nilipenda sana kuona michango yako baada ya kusoma kitabu cha ili niweze kukufanyia synthesis analysis na nijue what personality are you made of ?

Asante sana nina majibu sasa.

Nimefanya study mbili na surveys mbili zote za kisiasa na kuwa funded The Bretton Woods Institution kama contribution yake kwa United Nations University, upande wa Evolution, Reform and Change. Ninao surveyors' contacts 35000 karibu kila kijiji nchi nzima.

Mpaka muda huu 12.30 PM, na contribute humu JF, mwenendo wa wapigaji kura ni kinyume mno na ulivyoandika. Leo nimetambua kelele za kuibiwa kura huanzia wapi?

Nipo Lyamungo Sinde, Machame, Hai Contituency. Nafanya Independent, Physical and Verifiable Audit ( Re Audit) for Predictive electoral voting surveys report findings.

Nitatoa majibu tarehe 30th October. Kwenye wiki la kwanza la Nov 2020 nita publish publicly, nitaku tag. .

Nilisoma novel Book na sio intellegece book from intellegent person Na kufikiri labda naweza kukitumia muda mwingine kama ref. book na kufanya hypothesis analysis na critical path management. Nakuomba usome Intellegene analysis,

1) A target centric approach, muandishi Robert M. Clerk/

2) Deception countered by Robert M. Clerk.

3) The Rise and fall of an Intellegence Discipline.
by www.cia.gov>studies>pgfs-

Pole sana umetuumiza sana tuliojaribu kuamini labda intellect yako ni nzuri sana kumbe unaweza kubahatisha na tuu.

ASANTE SANA , UKIANDIKA KITABU CHA KIUTAALAMU JIZUIE KUANDIKA VITU AMBAVYO MAJIBU YAKE HUNA UFAHAMU NAYO.
 
Huu sasa ni wivu! Nilifikri unajibu hoja yake ya ushindi wa Tundu Lissu kumbe unashambulia kitabu chake? Hii inaweza kuwa imetokana na PhD holder anapozidiwa maarifa na degree holder, lazima kuwe na wivu!!
 
Mkuu bado upo au umeshakufa kwa stress?
 
Huu sasa ni wivu! Nilifikri unajibu hoja yake ya ushindi wa Tundu Lissu kumbe unashambulia kitabu chake? Hii inaweza kuwa imetokana na PhD holder anapozidiwa maarifa na degree holder, lazima kuwe na wivu!!

Mkuu, mimi nina muheshimu sana mtuu yeyote anaendika kitabu. Kwanza huwa sio wengi wanaoweza kuandika na kila mmoja anasababu yake ama kufanya hivyo ama kutofanya hivyo.

Na sisi waandishi wa ama vitabu au paper za research hupenda kila muandishi aheshimiwe, ni kazi inayo taka muda na kutuliza akili. Kwa kukusaidia michango yako maeneo kama haya hai hitajiki sababu huna chakuongeza. Na humsaidii Mkuu Yericko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…