Kwanini Lissu na CHADEMA watautafuna mfupa uliowashinda wengine

Braza upo serious kweli na maisha?????? Yaani tuache kumuunga mkono bi mkubwa afu tumuunge mkono lissu?????

Ndugu, orodha si Iko wazi hapa:

Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"

Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?

"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?

Si uchague lako au yako tuyaone.
 
Kua serious na maisha kaka
 
Weee chawa nawe ficha ujinga wako...umuunge mkono Kwa lipi? Mafuta bei juu ... Mchicha bei juu bando hazina utulivu .. elimu unga unga mwana ..maji pia unga unga mwana ..umeme hivyo hivyo....weeee kaa kimya
Kaka hii hali yako personal hiyo!!!!Pambana kama mwanaume acha kulalamika
 
Sasa ukame ni excuse kwenye Karen ya 21 mkuu? 60 years in power... does this justify Lissu's Statement that you have to offer new constitution and leave the ofcc immediately.
 
Wewe wanakukamua bila shaka
 
Tatzo umejikita na political theory ambazo zipo kila zama hazijawai kuwa suruhisho kwa watanzania CCM mmekuwa mabingwa wa uraghai kwenye kila sehemu sio kilimo , viwanda au elimu kote mnafail
 
Vita ya Urusi na Ukraine mpaka leo bado hamjalipatia tatizo solution, ni.kusingizia vita kila siku zaidi ya miezi sita!

Hamstahili kuongoza tena, mmechoka sana akili zenu...
 
Vumilia kaka tutawafikisha nchi ya ahadi mda si mrefu mnywe maziwa na asali na muanze kufurahia matunda ya uhuru!!!Vumila kaka
Vita ya Urusi na Ukraine mpaka leo bado hamjalipatia tatizo solution, ni.kusingizia vita kila siku zaidi ya miezi sita!

Hamstahili kuongoza tena, mmechoka sana akili zenu...
 
Tatzo umejikita na political theory ambazo zipo kila zama hazijawai kuwa suruhisho kwa watanzania CCM mmekuwa mabingwa wa uraghai kwenye kila sehemu sio kilimo , viwanda au elimu kote mnafail
Kanyi mdogo wangu vumilia tutawafikisha nchi ya ahadi mda si mrefu!!!Au nikupatie ilani ya chama usome?????Uvumilivu ndio uzalendo
 
Tundu Lissu ni mkombozi wa wote wenye vyama na wasio na vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…