- Thread starter
- #21
Braza upo serious kweli na maisha?????? Yaani tuache kumuunga mkono bi mkubwa afu tumuunge mkono lissu?????
Ndugu, orodha si Iko wazi hapa:
Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Si uchague lako au yako tuyaone.