Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

Sasa huo ndio msimamo wa marasi wote,ni amani kwanza mwengine baadae.

Wewe unazijua nyimbo ngapi za huyu mwamba??
Nazijua nyimbo zake nyingi, na ni shabiki yake mkubwa mpaka enzi za ujana wangu niliandika barua kwenda kwake kujitambulisha kama shabiki yake.

Nilijibiwa ile barua na nakumbuka nilitakiwa kutoa kiasi fulani cha fedha ili nipatiwe kadi ya uanachama iliyokuwa na faida mbalimbali za kiburudani ikiwemo kulipa nusu ya kiingilio popote atakapopiga.

MSIMAMO WA MARAS siyo WOGA amani unaitafuta kwa kuusema UKWELI.
 
Bhange ilikuwa nyingi kumzidi Bob.
 
Mtoa mada wanadai eti Lucky Dube alikuwa anaimba Sweet reggae na nyimbo zake ni kama choir, ila Bob Marley and co walikuwa wanaimba Roots reggae, binafsi naona kina Bob watabaki na heshima yao kama waasisi wa reggae ila kwangu Lucky is the best
Hawa jamaa either hawafahamu nyimbo za Lucky Dube au hawazielewi maana yake kutokana na lugha. Kama kuna msiba ulinitesa moyo wangu ukiacha wa baba yangu ni wa Lucky Dube na JPM.
 
Sio kweli kua DUBE alijikita kutousema ukweli,kasikilize fugitive, victims,guns & roses
 
Prisoner alipiga akimaanisha wapambanaji waliokamatwa na kufungwa jela yaani Dube hakuwa mpambanaji aisee sema Wazulu wanambagua Dube kwa kuwa ni Mzimbabwe..
Umenigusia kidogooo! Sikutambua kama ni Mzimbabwe, ila nilipokuwa kule South kikubwa wapambanaji walikuwa wanamlalamikia kwa kutowaunganisha wananchi kupitia muziki wake ( kujenga ushawishi wa kimapambano)
 
Sipingi mawazo yako!! Unaweza kuandika hapa msukosuko wowote wa kisiasa alioupata kupitia music wake?
 
mie naskiliz sana regae ili uwe muasisi ni kuu introduce kama alivofanya bob marley na weilers thot waliupa hadh ukawq mzik wenye jumbe nying na vtu vya mana labd km ujui vzur lugha ila nyimbo za bob marley zmezama sana kwenye kupnga uonev hasa wa mweupe na mweus yn redemption ikafanya mabeberu waufany uonekan mzik wa kiun ad ub40 wazngu walipoanz kukiamnsha kile cha bob marley na weilers nua regae si mzik wa wahun wala wa watu wenye rasta ila rasta ni culture ndipo ulipopenya europe tukirus kwa dube ana nyimbo nying bas znafanan sn tunz za kawaid thot ana hits nzur km dont cry back to my roots freedom nk lakn mzik si merod ni uwez wko wakutnga vtu vnaogusa jamii ndio unaofany kaz yko ipande mfano 20ac alikuta hiphop ipo kina ice t wanaimba easy e faza mc mc humer ila kwann ye akaw icon cz mashail yke meng tunzi zke znahamasisha utaftaj kujtambua kutia moyo kutetea wanyonge nakuwap hope watu wanaoptia changamot ndioman alipenya kias pk leo uwez katiz uswahln usikut ukuta umeandkwa 2pac au utembee sik nzim usion mtu kavaa tshirt yke au vuruga popit usikut mtu anamjua 2pac lakn waasis kina ice t n.w.a amna anaowajua
 
Reggae ya Dube ilikuwa nzuri sana kwa sababu ilivuma kipindi ambacho vyombo vya electronics vilikuwa vimeboreshwa sana na makampuni ya Japan; ni tofauti na wakati wa reggae za malegend kama Bob Marley, Gregory Issacs, Peter Tosh na wengine waasisi wa ragge wenyewe. Hata Reggae ya UB 40 nayo ilikuwa ni kati ya zilizovuma sana kutokana na matumizi vyombo vya kisasa zaidi
 
Hawa jamaa either hawafahamu nyimbo za Lucky Dube au hawazielewi maana yake kutokana na lugha. Kama kuna msiba ulinitesa moyo wangu ukiacha wa baba yangu ni wa Lucky Dube na JPM.
Pole mkuu,

Yaan msiba WA kambale JPM ulikutesa saana😂😂😂
 
Sana mkuu
 
Sana
 
Mie na ma beat pia huchangia sio ujumbe peke yake
Ma beat tena mzee? Sasa kwa lucky Dube na bendi yake me naona ndio walikuwa wana beats kali,tena zile sio beats ila ni vyombo vinagongwa balaa! Kama ile Feel Irie,au Don’t cry!! Umevisikia vyombo vilivyopigwa mule? Au my world? Au my brother my enemy? Bro mfuatilie Dube vizuri!! He was a prophet
 
Kwa mtu kama Bob huyo kwangu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…