Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

Mwaka 1942 tar 8 Desemba kuna mwamba alizaliwa na kupewa jina la Frederick Nathaniel Hibbert jina maarufu Toots akitoke viunga vya May Pey Jamaica ndio anatambulika kama baba na muasisi wa mziki wa Reggae na ndio mtu wa kwanza kuita muziki wa vionjo alivyokuwa anapiga kuwa ni Reggae, akiwa mtunzi na mwimbaji.

Mwaka 1968 akiwa na bendi yake ya The SKA Toots and Maytals walitoa wimbo "Do The Reggay" huyu mwamba aliwahi kufungwa jela selo namba 54-46 na kutunga wimbo uliovuma sana wa "54-46 that is my number. Baadae bend ya the wailers, wakina Burning Spare, Robert N. Marley na wengine wakafuata.
Ni sahihi mkuu,waanzilishi wapo ila jamaa wamegoma kumpa maua yake kabisa,hajawahi kuwa hata na grammy ujue
 
Kuasisi ni kuanzisha, na Dube aliikuta Reggae ipo na imeshakita mizizi yake kama muziki kamili, ambao ulitumika kupinga uonevu na dhuluma. Hivyo, hawezi kuwa mwasisi.

Kingine, roots reggae ndiyo uhesabika ndiyo reggae yenyewe, na Dube reggae yake haikuwa sana roots ndiyo maana haimweki katika kapu moja na watu kama akina Burning Wailer au Culture.

Imejitahidi

Inawezekana pia
 
Bob anakufa, Dube hajaanza mziki.
Dube ana heshima yake, lakini haifanyi awe Muasisi. Hata Bob sio Muasisi wa Reggae, kabla hajazaliwa reggae IPO. Sema, Bob ndiye aliyeufikisha kila kona ya Dunia mziki.

Bob na Dube hawalinganishiki, ni makosa.
Nimejaribu kuzisikiliza nyimbo za bob Marley ila jamaa melody na beat mbovu kmmke sema wagumu mnazingatia ujumbe
 
Ni sawa na kusema muasisi wa kiswahili atokee China au uingereza wakati dunia inajua kiswahili asili yake Tanzania. Rege kwao Jamaica baba sio afrika kusini !
Na ndio maana dube hapewi ugoat
 
Ishu ni beats zake , kumtaja Mungu kwenye reggae wasanii wengi tu wanamtaja sio Lucky dube peke yake ,, maana kwanza imani ya ma ras ni kama ukristo na wanatumia biblia, ishu Lucky dube ni midundo yake haijakaa ki reggae kabisa

View: https://youtu.be/8uPa_bAm38I?si=G9pdyWGrG3JeV9l8

Haijakaaje kireggae??maana msimamo wa watu wengi ni kwamba lucky alipiga sweet reggae,lakini wengine wanakataa kabisa kwamba alikuwa anapiga reggae ya aina yake wala haiko hata sweet.

Kumtaja kama muasisi wa reggae hapana,ila moja kati ya magwiji walioupa mziki huu jina anatakiwa awepo.

Alichofanya dube ni kuwa na namna yake ya kimziki,lakini wenye asili ya reggae,kama hela alizipata,jina alilipata,na heshima pia aliipata.
 
Kwa kifupi LUCKY DUBE hakuwa mpambanaji kupitia reggae, yy alikuwa MWOGA licha ya kushuhudia na kuuishi UKATILI, UNYANYASAJi, DHULMA NA UBAGUZI yy alijikita katika kutousema UKWELI .

Badala yake alitafuta Amani kwa kutaka watu wapatane kama vile HAKI ipo isipokuwa wananchi hawajui ile HAKI inapatikana vp.
Sasa huo ndio msimamo wa marasi wote,ni amani kwanza mwengine baadae.
Tofauti na MANGULI wengine wa REGGAE MUSIC hawa walijitokeza na kusema ukweli, TABAKA fulani linalinyanyasa tabakq fulani.

Haki hakuna acheni dhulma 'DONT GIVE UP THE FIGHT.'
Wewe unazijua nyimbo ngapi za huyu mwamba??
 
Kulingana na malegend wa reggae, wanadai Dube aliimba kwaya na sio leggae. Yaani nyimbo zake hazikua na vionjo na mapigo ya laggae kuanzia ngoma mpa ala
 
Nimejaribu kuzisikiliza nyimbo za bob Marley ila jamaa melody na beat mbovu kmmke sema wagumu mnazingatia ujumbe
Roots!
Mziki ni vitu vingi, binafsi nikitaka kusikiliza burudani basi nitaweka Rhumba, nikitaka kutafakari basi Reggae hasa roots.

Kila MTU hupenda muziki kadiri ya vionjo vyake.
 
Haijakaaje kireggae??maana msimamo wa watu wengi ni kwamba lucky alipiga sweet reggae,lakini wengine wanakataa kabisa kwamba alikuwa anapiga reggae ya aina yake wala haiko hata sweet.

Kumtaja kama muasisi wa reggae hapana,ila moja kati ya magwiji walioupa mziki huu jina anatakiwa awepo.

Alichofanya dube ni kuwa na namna yake ya kimziki,lakini wenye asili ya reggae,kama hela alizipata,jina alilipata,na heshima pia aliipata.
Ndo maana nikasema hata kwenye UGOAT awepo jaman
 
Duh kaa na watu ujue ya watuu..mkuu sijaona popote imeandikwa jamaa mzimb au anaasilli ya huko tupe chanzo tafadhali
Dube hakutaka yeye kutambulika kama Mzimbabwe ila pana ndugu zake kabisa ambao walikua ni Wazimbabwe na ndio walifatilia usimamizi wa Studio zake hapo Jhb kabla vingine havijaibiwa na kuuzwa..
 
Kw
Ila nyimbo nyingi za lucky dube naona zipo kama kwaya,, labda sababu alikua ras ndo maana zikahesabika ni reggae tofauti na ukiwasikiliza wakina bob
kwaya kivipi? Huwa unasikiliza jumbe zilizopo kwenye nyimbo za lucky dube? Utafute wimbo wake unaitwa The otherside na mwingine unaitwa mirror mirror sijui hata kama umewahi kuzisikia
 
Back
Top Bottom