Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

Unabadilika tena

Mwanzo umesema hakuna anajikita kusema ukweli sasa hivi unasema hakuna mpambanaji tena πŸ˜€πŸ˜€

Anyway,kumbuka DUBE ni msanii na alikua anapambana kupitia mdomo

Hivi unadhani kwanini aliuawa??
Nakufafanulia HAKUWA MPAMBANAJI KUPITIA MUZIKI. Kwa kuwakosoa Makaburu bila woga

" KILL THE FARMER KILL THE BOER"
 
Mm Lucky Dube ndio namuonaga kama mwamba had huwa najiulza mbn BOB MARLEY ndio ana jna zaid!?
Serious mkuu

Au unakuwa haujui kama huu wimbo umeimbwa na bob Marley
Mana kuna rafiki yangu kipindi kile WACKO JACKO amefariki sasa wakawa wanamzungumzia sana

Yeye akawa anasema sion wanachomsifia MICHAEL JACKSON wamempa sifa sana nikamuuliza unazijua nyimbo za MICHAEL JACKSON akaniambia nyimbo zenyewe si ndo kama zile wanacheza makaburini (akimaanisha THRLLER) Nikamuambia OKAY

siku moja akaja Gheto nikamuwekea DON'T STOP TILL YO GET ENOUGH
Nikamuona anaazna kutingisha miguu hukua anapachua VIDOLE gumba na shahada vya mikono mixer anapeleka bichwa mbele nyuma akilitingisha kama anapungwa madogori

Nikamuuliza vipi hiyo nyimbo umeilewa
Akajibu "kitambo sana mwanangu ngoma kali sana hii nailewaga sana"
Nikamuuliza "unajua kaimba nani" akajibu hata sijui
Nikamuambia sasa huyo ndio MICHAEL JACKSON
Akaishia aaaah nikaanza kumuwekea ngoma zake moja baada nyingine tena Video akiwa anavunja balaaa
Basi huyo mwanangu akawa umuambii kitu kuhusu WACK JACKO alikuja kumkubari sana

sasa mkuu pengine unakuwa hujui huu wimbo umeimbwa na BOB ndo mana unasema maneno hayo
 
Labda kweli mm sjui tu nyimbo za Bob Marley ila za Dube nizazo km zote yan bas tu.
 
Naelewa mkuu, Dube yupo vizuri na tunazikubali kazi zake.

Ila sasa linapokuja suala na kumuweka mizani moja na Bob, hapo ndo raia tunashindwa kujicotrol.
 
Naelewa mkuu, Dube yupo vizuri na tunazikubali kazi zake.

Ila sasa linapokuja suala na kumuweka mizani moja na Bob, hapo ndo raia tunashindwa kujicotrol.
Bob ataendelea kuwa Bob, kama muasisi wa reggae pamoja na the wailers heshima yake iko palepale mkuu.
 
Muziki wa Reggae ni muziki wa imani,na waanzilishi walikua kina Peter Tosh ambao pia ndo walimkaribisha Bob kwenye kundi, Dube alidandia kwa mbele tu,kwa sababu yeye alikua anapiga zile nyimbo za Paq'anga kule kwao SA....so alipoona Reggae inashika Dunia kwa sababu ya massage zake na yeye ndo akaingia huko,kumbuka kitu cha kuiga mala zote siyo talanta ya mtu,kila mtu ana chake,alifanya vzr kwa sababu tu alipiga muziki unaofurahisha kwa sababu South muziki wao siku zote ni mzuri na wanauweza, ila kwa maana ya muziki wa Reggae hiyo ni kitu from Jamaica na ilibuniwa na watu waliobeba imani ya Rasta,so huwezi kwenda zaidi yao.
 
Lucky Dube sio muanzilishi wa reggae wala sio legend.
 
Unaujua wimbo wa rastas Neve die?
Unaujua wimbo wa house of exile?
Unaujua wimbo wa the way it is?
Hufuatilii reggae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…