Makelele na kufoka foka ni Upagani. Na ata ile kukemea Pepo zaidi ya mara kumi wanavyofanya Walokole ni upagani. Yesu amefundisha Kukema mara moja tu basi. Tunasoma kwenye Bibilia mara zote Yesu alipoponya au kufufuwa watu alisema mara moja tu. Na Aliwaambia Wafuasi wake -(
Mt 6:7 SUV
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.) Hivyo Kusali au kuomba inashauria tusali bila mawenge tuwe wapole na watulivu Mungu yupo kwenye Ukimya na Mungu anaongea Mara moja tu arudii rudii na ata Watoto wake tunatakiwa kutoomba kama wanavyofanya walokole.
Mungu alipotamka Amri Kumi na kumpa Musa zikiwa zimeandikwa kwenye Mawe mawili (Tablets) alipoona Wana Israel wana abudu Ngombe wa Dhahabu alizidondosha zile mawe zilizoandikwa Amri 10. Mungu alimwambia Musa aziunge unge awape wana Israel akuchonga zingine tena.
Musa alipo piga mwamba utoe maji alipopiga mara ya pili Mungu alichikia na maji yakawa machungu. Mfano hii Video Ni Ushirikina Pro Max - Akuna Mungu wa aina hii - Huu ni Uganga kama ule wa Matunguli na Matalasimu