Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
wengine si ni wapigaji........lazima utoe vitisho, mbwembwe etc etcMaustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakariβ¦
Makelele na kufoka foka ni Upagani. Na ata ile kukemea Pepo zaidi ya mara kumi wanavyofanya Walokole ni upagani. Yesu amefundisha Kukema mara moja tu basi. Tunasoma kwenye Bibilia mara zote Yesu alipoponya au kufufuwa watu alisema mara moja tu. Na Aliwaambia Wafuasi wake -(Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakariβ¦
Elimu.Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakariβ¦
πππ.. nakubaliana na wewe, Kama kichwani elimu hamna lazima utafoka ili watu wakuelewe.Elimu.
Huwezi kuwa kasisi wa Katoliki pasipo kupiga kitabu. Huwezi kuwa msomi halafu ukapayuka. Hao wengine ni kinyume na nilichokieleza.
Pepo tokaMakelele na kufoka foka ni Upagani. Na ata ile kukemea Pepo zaidi ya mara kumi wanavyofanya Walokole ni upagani. Yesu amefundisha Kukema mara moja tu basi. Tunasoma kwenye Bibilia mara zote Yesu alipoponya au kufufuwa watu alisema mara moja tu. Na Aliwaambia Wafuasi wake -(
Mt 6:7 SUV
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.) Hivyo Kusali au kuomba inashauria tusali bila mawenge tuwe wapole na watulivu Mungu yupo kwenye Ukimya na Mungu anaongea Mara moja tu arudii rudii na ata Watoto wake tunatakiwa kutoomba kama wanavyofanya walokole.
Mungu alipotamka Amri Kumi na kumpa Musa zikiwa zimeandikwa kwenye Mawe mawili (Tablets) alipoona Wana Israel wana abudu Ngombe wa Dhahabu alizidondosha zile mawe zilizoandikwa Amri 10. Mungu alimwambia Musa aziunge unge awape wana Israel akuchonga zingine tena.
Musa alipo piga mwamba utoe maji alipopiga mara ya pili Mungu alichikia na maji yakawa machungu. Mfano hii Video Ni Ushirikina Pro Max - Akuna Mungu wa aina hii - Huu ni Uganga kama ule wa Matunguli na Matalasimu
Ila mimi siwezi kabisa ku focus kukiwa na maombi ya kuongea kwa sauti. Huwa napenda kusali kwa ukimya, yaan mimi na Mungu wanguKwa mtazamo wangu vyote ni sahihi havina tabu, cha msingi ni kuwa wote wanaeleweka Kwa waumini wao.
Kuna kitu wananufaika hapoMapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Wanakuwa wakali bila sababu. ππππ.. nakubaliana na wewe, Kama kichwani elimu hamna lazima utafoka ili watu wakuelewe.
Akili kijiko...... Nguvu gunia π€π€
π¬π¬, Sasa hapo unaaza kujiuliza mlienda ibadani au kukoromewa bila sababu...Wanakuwa wakali bila sababu. π
Kuna yule yuko Mbeya ameanza kukagua simu za waumini wake. Hawa jamaa wengi wao ni hamnazo. ππ¬π¬, Sasa hapo unaaza kujiuliza mlienda ibadani au kukoromewa bila sababu...