Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Zile ni stand za halmashauri husika ni vyanzo vya mapato kwa halmashauri hizoKwa nini walipishwe hayo mapato wakati hawakuwa na mtu anayeshuka au kupanda? Mfano unapanda SAULI ya Mbeya na imejaza siti zote, tena abiria wanashuka Mbeya, je ni kwa nini bus ilazimishwe kuingia stend za KIBAHA, Chalinze, Msamvu na nyinginezo??