Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Mwika, Rombo Green View na Delux wote wazee wa kazi
 
Kwa hiyo ni tajiri?
Kwani kwako utajiri unaanza na kiasi gani au tajiri anatakiwa awe na kiasi gani?

Kumiliki nyumba tatu Tabata si swala dogo ana nyumba moja ambayo ndani yake ina apartment nne kila moja laki tatu,kuna frame za maduka 5 kila moja laki,vyumba vya kupangisha 8 kila qkimoja elfu 50.Nyumba yake ya pili ina vyumba 10 kodi elfu 50 haya piga hesabu kwa mwezi anakunja shilingi ngapi.
 
Wanapata hela nyingi kirahisi na pia matumizi yao ni makubwa mno sababu ana uhakika wa kupata hela.


Kingine tofauti yao na wafanyabiashara wengine hawawezi expand biashara zao wanamatundu mawili au moja na bahati mbaya hawawezi kua na matawi sehemu mbalimbali kutoa huduma hata biashara ikikua.
 
Hah hah hah
 
Unahesabu tu mali za mwenzako, wewe una nini?
 
Tungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,
Tatizo lake mleta mada sio mtoto wa mjini anawaangalia hao wananchi wenzake wa Uyole anadhani life limeishia hapo tu[emoji23]
Tumtajie Basi boby risk wa naija kwakuwa yupo mbali na bongo.
 
Nyokoo,Yaani mungu akupe viungo bure,wewe ugeuze kuwa mtego wa kuingiza pesa halafu utajirike....
Ulivyoanza tu nikajua unataka kusema nini🤣🤣
 
Unahesabu tu mali za mwenzako, wewe una nini?
Kwani wewe kichwa chako cha habari kimezungumzia nini?

Au nimekosea kutoa mfano halisi unayo endana na mada yako?

Au unataka tuuziane chai tuchangamshe hii thread yako.

Unaonekana hata wewe mwenyewe hujielewi.

Sasa wewe mwenyewe umejuaje kama hawatajiriki,si bila shaka umeviona wanavyo vimiliki au ............
 
Tumtajie Basi boby risk wa naija kwakuwa yupo mbali na bongo.
Dolce and Gabbana-Wanamitindo maarufu na tajiri duniani

Tim Cook- CEO wa Apple

Elton John - Mwanamuziki maarufu na tajiri duniani

Elen Degeneres - Tv Talk Show Host maarufu na tajiri duniani

Tuendelee ama tusiendeleeeeeeeee
 
Wengi wao ni wavivu wa kufanya kazi...
Hawajui kama ukiwa kahaba sharti uwe na kazi maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…