Una uhakika unacho kinena?Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
Is he rich?Sijui kwa nini title ya uzi imenipeleka kwa Ommy Dimpoz
Sawa bwana ni simu tu inaongea English na kiarabu joh so nikazi kutengeneza kichagga mueleweBora huyu, kuna yule mmoja Unique Flower ni shida
Wataje tu,kwn shida nini?Tungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,
Tatizo lake mleta mada sio mtoto wa mjini anawaangalia hao wananchi wenzake wa Uyole anadhani life limeishia hapo tu[emoji23]
I can't say yes but hez financially comfortableIs he rich?
[emoji23][emoji23] sasa Uyole umepatajajeTungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,
Tatizo lake mleta mada sio mtoto wa mjini anawaangalia hao wananchi wenzake wa Uyole anadhani life limeishia hapo tu[emoji23]
dada lesbobo Mbona unataja mashoga na wasagaji wa mbele huko? Hujachanganya mada kweli we ladies and gentlemen?Dolce and Gabbana-Wanamitindo maarufu na tajiri duniani
Tim Cook- CEO wa Apple
Elton John - Mwanamuziki maarufu na tajiri duniani
Elen Degeneres - Tv Talk Show Host maarufu na tajiri duniani
Tuendelee ama tusiendeleeeeeeeee
Mimi sijawahi kunena...
Hujakutwa na jambo wewe.... utanena kama mbuzi kwa kuzidiwa na utamuMimi sijawahi kunena...
D&G kumbe ni Magasho?Dolce and Gabbana-Wanamitindo maarufu na tajiri duniani
Tim Cook- CEO wa Apple
Elton John - Mwanamuziki maarufu na tajiri duniani
Elen Degeneres - Tv Talk Show Host maarufu na tajiri duniani
Tuendelee ama tusiendeleeeeeeeee
Kuna mashogaaa ni matajiri haswaaa, inategemea mtu na mtu. Lol
KabisaPicha imemaliza kila kitu..View attachment 2511506
Wabunifu wa Mitindo almost wote duniani ni mashoga.D&G kumbe ni Magasho?
Hao wa Mbele hawajifichi wapo wazi, hapa kwetu kumtaja mtu shoga wakati yeye hajajisema ni kosa kisheria.dada lesbobo Mbona unataja mashoga na wasagaji wa mbele huko? Hujachanganya mada kweli we ladies and gentlemen?
Nitajie Mwalimu tajiri, Daktari tajiri, Mwanasheria tajiri, Mkutubi tajiriNi tajiri?