Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Kuna Rahabu kwenye bible yule aliyewaficha wapelelezi ,alikua tajiri kupitia ukahaba na alitegemewa hadi na familia yake akiwemo baba yake mzazi [emoji848] ,nimeona nisikupeleke mbali sana [emoji23][emoji23]kwa hii mishangazi ya mjini inayojiuza kwa $ ...anashuka kwenye Vx yake kaliii anaingia 5star hotel kutoa huduma alaf anapita hivi [emoji23].
Subiri wajomba wanaofahamu hii mishangazi wakupe muongozo
 
Shangazi Mwajuma?
 
Halafu wewe si ni miongoni mwa mashoga wa mwanzo kabisa hapa JF? Siku hizi umekuwa kimya sana aise. Au mesha mpa Yesu maisha yako, umeokoka na kuepukana na ushoga?
Yes, mimi ni miongoni mwa Mashoga wa mwanzo kabisa hapa JF,
Thank you kwa kunimiss, hapana sijampa Yesu Maisha yangu bado napambana mwenyewe ndio maana niko hai.....🤗

Haya turudi kwako sasa, UTAJIRI ni nini?
 
Ooooh kumbe bas sawaah!!!
 
Elfu moja, mbili mpaka 3 inategemea na mteja anatakaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unachagua kama kifurushi cha simu! Yani kama unataka muda wa maongezi tu, ama maongezi na sms, au sms tu, au internet, au vyote kwa pamoja!
 
Papuchi haiuzwi kama nguo au cement au juice za Mo.
mbona wataugua mapema au kuchoka. Wengi wana kipato kizuri ili utajiri huja kwa wale wanaowekeza kwenye biashara wapo wengi tu.
Ila tusifikiri eti papuchi wanauza mara 30 au 40 kwa siku never.
Too much ni mara 4 tu kwa siku. Kwa waopokea 20- infinity money, the more the money the more wanapunguza round za sex.
Alafu sio kila siku wanaliwa. Mara moja moja.
 
Elfu moja, mbili mpaka 3 inategemea na mteja anatakaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unachagua kama kifurushi cha simu! Yani kama unataka muda wa maongezi tu, ama maongezi na sms, au sms tu, au internet, au vyote kwa pamoja!
Denda bei gani?
 
Yes, mimi ni miongoni mwa Mashoga wa mwanzo kabisa hapa JF,
Thank you kwa kunimiss, hapana sijampa Yesu Maisha yangu bado napambana mwenyewe ndio maana niko hai.....🤗

Haya turudi kwako sasa, UTAJIRI ni nini?
Hivi kwanini mashoga mnaona fahari kujitangaza? Mkifanya kinyakimya mnapungukiwa nini?
 
Huyo sio muuzaji k
 
Na Kwa hali ni lazima ufe maskini tu
 
Ndio utajua wabongo wengi ni mafukara, waking mtu ana gari wanaamini ni tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…