miss IQ
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 848
- 1,196
Kuna Rahabu kwenye bible yule aliyewaficha wapelelezi ,alikua tajiri kupitia ukahaba na alitegemewa hadi na familia yake akiwemo baba yake mzazi [emoji848] ,nimeona nisikupeleke mbali sana [emoji23][emoji23]kwa hii mishangazi ya mjini inayojiuza kwa $ ...anashuka kwenye Vx yake kaliii anaingia 5star hotel kutoa huduma alaf anapita hivi [emoji23].
Subiri wajomba wanaofahamu hii mishangazi wakupe muongozo
Subiri wajomba wanaofahamu hii mishangazi wakupe muongozo