Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

Stori nyingi huwa ni za kusadikika, kama zingekuwa za kweli, changamoto tulizonazo leo zisingekuwepo; zingekuwa zilishatatuliwa.​
 
Free tundu lissu
No reform No election πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Kuna namna ya kuziandika ili usionekane unatafuta fursa.. Mwanzoni hazikuwq na restriction... Lakini baada ya watu kulizwa sana ndio ikabidi zitupiwe jicho kali
Hapana nakataa kwa kukubali kua sababu hio pengine inachangia 7% tu ya ukweli....nakupa mfano, thread ya arsis..na ndani yake Kuna mada ilipgwa mkono isiendelzwe tena huyo memba alisema wazi kua alifuatwa kuambiwa asiongelee hio mada.
Najiuliza why " they" don't want people to be enlightened..to know the "real truth"
 
Matajiri hawataki kusikia kuhusu "misukule ".
Hatuna shida na utajiri wao au wamepataje..
People need to learn spirituallly these things ..to know the truth...to see another Side of the world...to communicate with unseen world
 
Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.
Brother naomba nije pm uni enlight japo kidogo
 
In every thread there are two ways of creating
1. Amateur
2. Professional
Try to write your thread in a professional way so that amateurs won't infitrite it... Ukiandika kindezi ni rahisi sana kuchafuliwa
 
ROSTAM AZIZI HATAKI KABISA HIZO HABARI ANASEMA TUMNATAKA KUWAFUMBUA WATUMSACHO WAKATI YEYE ANATEGEA UPUMBAVU WAO
 
Stori nyingi huwa ni za kusadikika, kama zingekuwa za kweli, changamoto tulizonazo leo zisingekuwepo; zingekuwa zilishatatuliwa.​
Kuna watu hadi sasa dawa za miti shamba hawaziamini kabisa, ila wengine wanatumia mitishamba na kupona maradhi ambayo wasioamini mitishamba ili wapone magonjwa wanalazimika kufanya upasuaji au kukosa tiba kabisa.

Kwahiyo wakati mwengine tatizo lipo kwa watu wenyewe na si hicho kitu.
 
Meditation ipi mkuu hufanya uweze kuona vitu vya ajabu ajabu?
 
Umezungumzia paka mweusi kwa mambo yagiza.
Je, paka mweupe haitokua kinyume chake?
 
Kwa sababu watu wa dini ni waoga wa mijadala. Ukiwabana sana wanaanza kukutisha na kifo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.
Huyu Mshana Jr Mungu ambariki Sana amenisaidia pia kwa namna Moja ama nyingine, nami nimemfuatilia nikiwa chuo ila bado sijafika ninapohitajika kufika.
 
Meditation ipi mkuu hufanya uwezo kuona vitu vya ajabu ajabu?
Mkuu kwani lengo la meditation ni nini?
Najua wengi misingi ya meditation wanaikosea ndo maana umeuliza swali hili.
Ukiwa na mzongo wa mawazo halafu unafanya meditation ili uone kitu fulani ni hauta fanikiwa.
Fanya meditation kwanza juu ya kuondoa negative enegy zote akilini mwako ndo mambo hayo ya kuona vitu yaje.
 
Lengo ni kutuliza akili kupata utulivu ila kuna mbinu mbalimbali za meditation zenye makusudio au faida tofauti. wapo wenye kufanya maditation kwa ajiri ya tiba, kuondoa stress na hata mambo ya kiroho hivyo inategemea ndio maana nikauliza ni meditation gani hiyo?
 
Hujanielewa bado tafuta kuna uzi wa meditation humu ujue kwanza kanuni zake.
Utafanayaje meditation ya tiba wakati bado hijasafisha ubongo mkuu?
Fanya hatua za kwanza kuweka ubongo sawa ndo hayo mengine uone.
 
Hujanielewa bado tafuta kuna uzi wa meditation humu ujue kwanza kanuni zake.
Utafanayaje meditation ya tiba wakati bado hijasafisha ubongo mkuu?
Fanya hatua za kwanza kuweka ubongo sawa ndo hayo mengine uone.
Ndio tunarudi pale pale nilipouliza kuwa ni meditation ya aina gani hiyo ambayo hufanya uweze kuona vitu vya ajabu? Yani kwa mtu ambaye amesha safisha ubongo ni aina gani ya meditation afanye ili sasa aweze kuona hayo mambo ya ajabu ajabu?

Au mkuu unakusudia ukisafisha tu ubongo na ukafanya meditation vyovyote vile utaweza kuona hayo mambo ya ajabu ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…