Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Stori nyingi huwa ni za kusadikika, kama zingekuwa za kweli, changamoto tulizonazo leo zisingekuwepo; zingekuwa zilishatatuliwa.
Hapana nakataa kwa kukubali kua sababu hio pengine inachangia 7% tu ya ukweli....nakupa mfano, thread ya arsis..na ndani yake Kuna mada ilipgwa mkono isiendelzwe tena huyo memba alisema wazi kua alifuatwa kuambiwa asiongelee hio mada.Kuna namna ya kuziandika ili usionekane unatafuta fursa.. Mwanzoni hazikuwq na restriction... Lakini baada ya watu kulizwa sana ndio ikabidi zitupiwe jicho kali
In every thread there are two ways of creatingHapana nakataa kwa kukubali kua sababu hio pengine inachangia 7% tu ya ukweli....nakupa mfano, thread ya arsis..na ndani yake Kuna mada ilipgwa mkono isiendelzwe tena huyo memba alisema wazi kua alifuatwa kuambiwa asiongelee hio mada.
Najiuliza why " they" don't want people to be enlightened..to know the "real truth"
ROSTAM AZIZI HATAKI KABISA HIZO HABARI ANASEMA TUMNATAKA KUWAFUMBUA WATUMSACHO WAKATI YEYE ANATEGEA UPUMBAVU WAOLeo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo kua asiendelee na alichokua anataka kukisema ama kuongelea jambo Hilo
Wakuu wa kupiga pini hamtaki watu wajue Siri za ulimwengu huu? Mnataka mfaidi wenyewe tu? Muwe matajiri wenyewe tu? Acheni hizo bwana. Acheni watu wafunuliwe waelewa waache kuishi kama mazuzu..
Mada za namna hii Kuna namna zinapigwa pini kitaalam zisitrend au zinapokea "maelekezo" kutoka kwa watu ambao hawataki kabisa mambo haya yaongelewe ili Siri ibaki Siri kwa wachache wafaidi...tuacheni tupate enlightenment
life is spiritual.
Kuna watu hadi sasa dawa za miti shamba hawaziamini kabisa, ila wengine wanatumia mitishamba na kupona maradhi ambayo wasioamini mitishamba ili wapone magonjwa wanalazimika kufanya upasuaji au kukosa tiba kabisa.Stori nyingi huwa ni za kusadikika, kama zingekuwa za kweli, changamoto tulizonazo leo zisingekuwepo; zingekuwa zilishatatuliwa.
Meditation ipi mkuu hufanya uweze kuona vitu vya ajabu ajabu?Ukisha pata majibu nawa uso.
Kabla ya kufanya jambo hili
Moja fanya sana meditation ili uzoe kuona vitu vya ajabu ajabu.
Pili jikinge usidhurike kinga rahisi ni kuchora duara kubwa kwa chumvi mawe kisha majivu ndo unakaa katikati.
Funga siku walau tatu/jizuie kula chenye kutokana na roho mfano nyama maziwa mayai na usifanye sex kwa siku hizo.
Hii ndo njia simple kuliko
Umezungumzia paka mweusi kwa mambo yagiza.Watu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
Kwa sababu watu wa dini ni waoga wa mijadala. Ukiwabana sana wanaanza kukutisha na kifo 😂😂😂😂😂😂😂😂.Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo kua asiendelee na alichokua anataka kukisema ama kuongelea jambo Hilo
Wakuu wa kupiga pini hamtaki watu wajue Siri za ulimwengu huu? Mnataka mfaidi wenyewe tu? Muwe matajiri wenyewe tu? Acheni hizo bwana. Acheni watu wafunuliwe waelewa waache kuishi kama mazuzu..
Mada za namna hii Kuna namna zinapigwa pini kitaalam zisitrend au zinapokea "maelekezo" kutoka kwa watu ambao hawataki kabisa mambo haya yaongelewe ili Siri ibaki Siri kwa wachache wafaidi...tuacheni tupate enlightenment
life is spiritual.
Huyu Mshana Jr Mungu ambariki Sana amenisaidia pia kwa namna Moja ama nyingine, nami nimemfuatilia nikiwa chuo ila bado sijafika ninapohitajika kufika.Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.
Mkuu kwani lengo la meditation ni nini?Meditation ipi mkuu hufanya uwezo kuona vitu vya ajabu ajabu?
Lengo ni kutuliza akili kupata utulivu ila kuna mbinu mbalimbali za meditation zenye makusudio au faida tofauti. wapo wenye kufanya maditation kwa ajiri ya tiba, kuondoa stress na hata mambo ya kiroho hivyo inategemea ndio maana nikauliza ni meditation gani hiyo?Mkuu kwani lengo la meditation ni nini?
Najua wengi misingi ya meditation wanaikosea ndo maana umeuliza swali hili.
Ukiwa na mzongo wa mawazo halafu unafanya meditation ili uone kitu fulani ni hauta fanikiwa.
Fanya meditation kwanza juu ya kuondoa negative enegy zote akilini mwako ndo mambo hayo ya kuona vitu yaje.
Hujanielewa bado tafuta kuna uzi wa meditation humu ujue kwanza kanuni zake.Lengo ni kutuliza akili kupata utulivu ila kuna mbinu mbalimbali za meditation zenye makusudio au faida tofauti. wapo wenye kufanya maditation kwa ajiri ya tiba, kuondoa stress na hata mambo ya kiroho hivyo inategemea ndio maana nikauliza ni meditation gani hiyo?
Ndio tunarudi pale pale nilipouliza kuwa ni meditation ya aina gani hiyo ambayo hufanya uweze kuona vitu vya ajabu? Yani kwa mtu ambaye amesha safisha ubongo ni aina gani ya meditation afanye ili sasa aweze kuona hayo mambo ya ajabu ajabu?Hujanielewa bado tafuta kuna uzi wa meditation humu ujue kwanza kanuni zake.
Utafanayaje meditation ya tiba wakati bado hijasafisha ubongo mkuu?
Fanya hatua za kwanza kuweka ubongo sawa ndo hayo mengine uone.