MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Ndugu usemacho kina uhalisia japo sio kwa asilimia mia kwanini ?Hao wamtaani hasa manesi unakuta umri umeenda kidgo ni mafundi kuliko hata Md mkuu.
Sure.Ndugu usemacho kina uhalisia japo sio kwa asilimia mia kwanini ?
Afya ni daily exprience hivyo jinsi unavyojihusisha na mambo ya kiafya na kukutana na kesi tofauti ndivyo unavyokuwa nguli ila ukweli ni kuwa hauwezi kuwa nguli kwa kila kitu na kuna vitu sio rahisi kwa nesi kuvijua kuliko Md hapo nakukosoa kidogo .
Zaidi hao uwasemao utawakuta unguli wao ni kwenye mambo ya uzazi ila sio habari za surgery wala mambo mengine yanayohitaji utaalamu zaidi na sio exprience .
LINAFUKALeo komwe halifuki moshi?
Basi ulipakatwa daahHiyo story haina muendelezo, hapo ndo mwishoπ
Mkuu uliniona!?π Acha mawazo potofu kwanini usifikilie kua sikupakatwa.?Basi ulipakatwa daah
Ulimjibu nini?Umenikumbusha juzijuzi nilienda hospital kuchoma sindano daktari akanambia njoo nikuchome huku nimekupakata ili isiume[emoji23]
Uliposema hakuna muendelezo, mfano endapo ulikataa kupakatwa, au hata kusema kitu gani kumjibu, inaonyesha ulikubali yaishe.Mkuu uliniona!?π Acha mawazo potofu kwanini usifikilie kua sikupakatwa.?
Sindano nilichoma! inaweza kua alinichoma yeye au daktari mwingine sababu dr sio yeye peke yake.Uliposema hakuna muendelezo kwamba ulikataa au kusema kitu gani kumjibu, inaonyesha ulikubali yaishe.
Tatizo unakwend hospital unamvutia dokta hadi anaomba mchezo, na.madokta wanapenda kuhudumia pisiMy God. Hopeless generation
We nenda na hiyo bakora yako tu ukakutane na sindano za ng'ombeHawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?
Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.
Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!
Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.
Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!
Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!
Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.
Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha juzijuzi nilienda hospital kuchoma sindano daktari akanambia njoo nikuchome huku nimekupakata ili isiume[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sura ambayo huwa naiweka nikiwa naenda kuulizia huduma, unaweza angusha hata hyo simu aliyoishika anaperuzi instagram.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado wataanza kutuambia "si umeshagoogle signs za huo ugonjwa? google inasema ni ugonjwa gani? hebu tuone wanasuggest dawa gani hapo?"
Mi huwa nawaambia nimekuja kutibiwa
Issues ni malezi ila mlezi mkuu Huwa ni MUNGU pekee...Si kwamba natetea ila hio ipo kila mahali, hata maofisi yenu ukifika utakuta vidada visecretary vinajivuta, vinajishaua, vimekunja mdomo kama vile vinalipwa millioni 10 kumbe laki3 tuu
sura ya kijangiliπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariiisura ya kijangiliπ
Hii nchi ni ya kipumbavu kuliko unavyoweza kudhani. Madaktari wazuri wapo mtaani; hospitali nyingi za umma zimejaa madaktari wa ovyo wanaojiriwa kwa vimemo na kujuana.Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?
Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.
Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!
Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.
Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!
Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!
Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.
Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
Alichofanya alimpa suggestion ya kiutu uzima tu ambayo angeweza kukabali au kukataa.......huenda daktari alimwelewa.Na wenyewe ni binadamu. Hivyo muwachukulie. π