Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Hao wamtaani hasa manesi unakuta umri umeenda kidgo ni mafundi kuliko hata Md mkuu.
Ndugu usemacho kina uhalisia japo sio kwa asilimia mia kwanini ?

Afya ni daily exprience hivyo jinsi unavyojihusisha na mambo ya kiafya na kukutana na kesi tofauti ndivyo unavyokuwa nguli ila ukweli ni kuwa hauwezi kuwa nguli kwa kila kitu na kuna vitu sio rahisi kwa nesi kuvijua kuliko Md hapo nakukosoa kidogo .

Zaidi hao uwasemao utawakuta unguli wao ni kwenye mambo ya uzazi ila sio habari za surgery wala mambo mengine yanayohitaji utaalamu zaidi na sio exprience .
 
Sure.
 
Hili swala liko kijamii zaidi.

Kama wagonjwa ni wahuni, madaktari wanashindwa nini kuwa wahuni.

Madaktari sio watu wanaukuzwa nje ya jamii yetu, wengi tunaishi nao humuhumu toka wakiwa wadogo.

Wanaenda shule tuko nao.
Tabia zote za jamii wanakuwa nazo.

Miaka mitano ya chuo, haiwezi kumbadili tabia.
Zaidi, wale wenye busara, watajaribu kuficha uhuni wao, wakiwa mazingira ya kazi.
 
Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?

Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.

Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!

Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.

Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!

Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!

Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.

Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
We nenda na hiyo bakora yako tu ukakutane na sindano za ng'ombe
 
Si kwamba natetea ila hio ipo kila mahali, hata maofisi yenu ukifika utakuta vidada visecretary vinajivuta, vinajishaua, vimekunja mdomo kama vile vinalipwa millioni 10 kumbe laki3 tuu
Issues ni malezi ila mlezi mkuu Huwa ni MUNGU pekee...

Mimi nilianza kupevuka fikra na akili still nikiwa mdogo sana kuongea na watu kuheshimu wakubwa Kwa wadogo Ethics za jamii mbalimbali kifupi hii Dunia ni ku be humble....

Ukiona mtu anajisifu au kujivuna Kwa ajili ya cheo au nafasi yake ama ELIMU yake basi MAKABURI yangejisifu na kujimwambafai maana yamezika (kufukia) werevu, wajuvi na wenye taaluma mbali mbali
 
Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?

Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.

Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!

Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.

Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!

Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!

Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.

Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
Hii nchi ni ya kipumbavu kuliko unavyoweza kudhani. Madaktari wazuri wapo mtaani; hospitali nyingi za umma zimejaa madaktari wa ovyo wanaojiriwa kwa vimemo na kujuana.
 
Back
Top Bottom