MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Ndugu usemacho kina uhalisia japo sio kwa asilimia mia kwanini ?Hao wamtaani hasa manesi unakuta umri umeenda kidgo ni mafundi kuliko hata Md mkuu.
Afya ni daily exprience hivyo jinsi unavyojihusisha na mambo ya kiafya na kukutana na kesi tofauti ndivyo unavyokuwa nguli ila ukweli ni kuwa hauwezi kuwa nguli kwa kila kitu na kuna vitu sio rahisi kwa nesi kuvijua kuliko Md hapo nakukosoa kidogo .
Zaidi hao uwasemao utawakuta unguli wao ni kwenye mambo ya uzazi ila sio habari za surgery wala mambo mengine yanayohitaji utaalamu zaidi na sio exprience .