Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa...
Ndugu yangu Bichwa Komwe kama ni kweli ulichokisema ilikupasa Kureport matukio hayo yote Kwa Mganga mkuu wa Eneo hilo w wilaya au wa Mkoa kwa Tabia hizo.

Namba huwa zimeandikwa kwenye Mabango au kuriport matukio hayo kwa katibu wake wa afya wa Mkoa au wilaya, ukitaja Kituo na Daktari husika.

Maana kwa sasa unachofanya ni kuchafua Taswira na Picha ya Madaktari wote Vijana waonekane wana shida hiyo na Hivyo kuwapa CV mbovu wote pengine ni hao wachache tu uliokutna nao na pengine ungewareport siku zilizofuata wangefanya Kwa kuzingatia ETHICS na taratibu zote...

Nimemjibu hapa MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Hahaha Nimemjibu huyu Jamaa anataka kuchafua Taswira za vijana kwanini asingereport
Shida ni kuwa wengi wafikapo sehemu za huduma hawazitambui haki zao kuwa ikiwa utahudumiwa vibaya unayo haki ya kureport na sehemu za kureport zipo .

Sio vijana wote katika kada hiyo wako hivyo asemavyo ila ni baadhi ya vijana na kichekesho usikute sio daktari ila kisa koti jeupe yeye kadhani ni daktari na amemkuta kwenye zahanati ya kijiji
 
Ndugu yangu Bichwa Komwe kama ni kweli ulichokisema ilikupasa Kureport matukio hayo yote Kwa Mganga mkuu wa Eneo hilo w wilaya au wa Mkoa kwa Tabia hizo...
Namba huwa zimeandikwa kwenye Mabango au kuriport matukio hayo kwa katibu wake wa afya wa Mkoa au wilaya..
ukitaja Kituo na Daktari husika..
Kama hujakutana na haya jaribu kutembelea sehemu mbili kwa kuanzia, Rabininsia na Mloganzila halafu ulete mrejesho
 
Shida ni kuwa wengi wafikapo sehemu za huduma hawazitambui haki zao kuwa ikiwa utahudumiwa vibaya unayo haki ya kureport na sehemu za kureport zipo .

Sio vijana wote katika kada hiyo wako hivyo asemavyo ila ni baadhi ya vijana na kichekesho usikute sio daktari ila kisa koti jeupe yeye kadhani ni daktari na amemkuta kwenye zahanati ya kijiji
🤣🤣🤣
Kuna wengine Ni mtaalmu wa Mabara Sasa unalazimishe akusikilize Unaumwa nini na umemkuta Phlebotomy Asipokusikiliza unaona umenyanyaswa Wakati kazi yake ni kuchukua Sample yake tu...

Ila hajui kwamba hata yeye ana Haki ya Kukataa Muhudumu kama Hamuelewi Tabia zake
 
Kama hujakutana na haya jaribu kutembelea shehemu mbili kwa kuanzia, Rabininsia na Mloganzila halafu ulete mrejesho
Mimi nipo kwenye Kada hii mkuu!
Na kingine kuhusu Mloganzila Asilimia kubwa waliopo kule ni Wanafunzi kwahyo wengi Bado wana ule uanafunzi wa kishule shule kuona Kuwa Wengine hawajasoma lakini Yeye ndo kasoma...

Hali hiyo ya kujiona ubora wote tunaoitia Iwe ni IT, Engeneer au Mwalimu lakini hubadlika Daktri anapotandikwa kwanza na mtihani wa kwnza wa intern akili lazma zimrudi..
Kama ni mwanafunzi tuseme yuko mwaka wa nne kakutibu leo..
Nena kamchek tena akiwa yupo intern kakaeibia kumaliza kama atakuwa na hiyo Tabia njoo nikupe pesa
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri🙏

Msaidieni huyu mgonjwa mwana JF basi..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wengine Ni mtaalmu wa Mabara Sasa unalazimishe akusikilize Unaumwa nini na umemkuta Phlebotomy Asipokusikiliza unaona umenyanyaswa Wakati kazi yake ni kuchukua Sample yake tu...

Ila hajui kwamba hata yeye ana Haki ya Kukataa Muhudumu kama Hamuelewi Tabia zake
[emoji3][emoji3] huku vijijini ndiyo tabu kabisa yaani medical attendants , lab technicians wote mtaani wanaajiita madokta na wanaaminika ni madaktari sasa sikilizia diagnosis zao kwa wagonjwa utaishia kushika kichwa na kucheka .

Sasa hao akikutana nao ndugu yetu anasema madaktari hawapei attention kwa wagonjwa , sasa atakuwaje attention wakati muda huo anaiangaisha akili kwa kitu asichokijua kikubwa apate sifa mtaani
 
Hahaha 🤣🤣🤣
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri🙏

Msaidieni huyu mgonjwa mwana JF basi..
Huyu Jamaa case yake Ni tofauti maana yeye amekosa pesa Ya consultation Tena bahati mbaya Muhimbili....Mmmh sidhani
 
[emoji3][emoji3] huku vijijini ndiyo tabu kabisa yaani medical attendants , lab technicians wote mtaani wanaajiita madokta na wanaaminika ni madaktari sasa sikilizia diagnosis zao kwa wagonjwa utaishia kushika kichwa na kucheka .

Sasa hao akikutana nao ndugu yetu anasema madaktari hawapei attention kwa wagonjwa , sasa atakuwaje attention wakati muda huo anaiangaisha akili kwa kitu asichokijua kikubwa apate sifa mtaani
Hao wamtaani hasa manesi unakuta umri umeenda kidgo ni mafundi kuliko hata Md mkuu.
 
Pole sana Mkuu.

Endapo hutaridhika na huduma wanayotoa Wataalam, ripoti kwa daktari Mkuu wa hospital husika. Uliza in charge ni nani? Watakuambia.

Pili, kama aliyekutenda ndiye in charge mwenyewe ama hayupo au hujaridhika na hatua alizochukua, basi hospital karibu zote zina management. Nenda hapo, toa malalamiko yako. Watayafanyia kazi. Usiporidhishwa, nenda kwa Mganga Mkuu wa wilaya. Atamalizana naye.

Lakini, wewe ukienda hospital tambua ya kwamba una haki ya kusikilizwa kwa umakini. Endapo umefika na daktari yupo busy na simu, mkemee. Muambie unanisikiliza mimi au simu yako?

Ila kama anakusikiliza na kuchezea computer usinung'unike. Ila anapaswa kufanya hayo baada ya kukusikiliza. Usione yupo busy na laptop au kompyuta yake ukadhani amekupuuza. Taarifa nyingi siku hizi zinawekwa kwenye mfumo.

Usiende na bakora. Mchape kwa taratibu zilizowekwa. Siyo wote watakaopata huduma mbovu watakuwa na uwezo wa kumchapa.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom