BaaaasiAnayefungua sanduku la maoni mwenyewe Muhuni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BaaaasiAnayefungua sanduku la maoni mwenyewe Muhuni!
Ndugu yangu Bichwa Komwe kama ni kweli ulichokisema ilikupasa Kureport matukio hayo yote Kwa Mganga mkuu wa Eneo hilo w wilaya au wa Mkoa kwa Tabia hizo.Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa...
AbsolutelyNdugu yangu Bichwa Komwe kama ni kweli ulichokisema ilikupasa Kureport matukio hayo yote Kwa Mganga mkuu wa Eneo hilo w wilaya au wa Mkoa kwa Tabia hizo namba....
Hahaha Nimemjibu huyu Jamaa anataka kuchafua Taswira za vijana kwanini asingereport
Labda viongozi wao wanawaogopa, maana kukiwa na wasimamizi serious huu ulimbukeni hauwezi kuwepoUkizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!
Shida ni kuwa wengi wafikapo sehemu za huduma hawazitambui haki zao kuwa ikiwa utahudumiwa vibaya unayo haki ya kureport na sehemu za kureport zipo .Hahaha Nimemjibu huyu Jamaa anataka kuchafua Taswira za vijana kwanini asingereport
Kama hujakutana na haya jaribu kutembelea sehemu mbili kwa kuanzia, Rabininsia na Mloganzila halafu ulete mrejeshoNdugu yangu Bichwa Komwe kama ni kweli ulichokisema ilikupasa Kureport matukio hayo yote Kwa Mganga mkuu wa Eneo hilo w wilaya au wa Mkoa kwa Tabia hizo...
Namba huwa zimeandikwa kwenye Mabango au kuriport matukio hayo kwa katibu wake wa afya wa Mkoa au wilaya..
ukitaja Kituo na Daktari husika..
🤣🤣🤣Shida ni kuwa wengi wafikapo sehemu za huduma hawazitambui haki zao kuwa ikiwa utahudumiwa vibaya unayo haki ya kureport na sehemu za kureport zipo .
Sio vijana wote katika kada hiyo wako hivyo asemavyo ila ni baadhi ya vijana na kichekesho usikute sio daktari ila kisa koti jeupe yeye kadhani ni daktari na amemkuta kwenye zahanati ya kijiji
Mimi nipo kwenye Kada hii mkuu!Kama hujakutana na haya jaribu kutembelea shehemu mbili kwa kuanzia, Rabininsia na Mloganzila halafu ulete mrejesho
Asante kwa ufafanuzi mzuri🙏Mimi nipo kwenye Kada hii mkuu!
Na kingine kuhusu Mloganzila Asilimia kubwa waliopo kule ni Wanafunzi kwahyo wengi Bado wana ule uanafunzi wa kishule shule kuona Kuwa Wengine hawajasoma lakini Yeye ndo kasoma...
Hali hiyo ya kujiona ubora wote tunaoitia Iwe ni IT, Engeneer au Mwalimu lakini hubadlika Daktri anapotandikwa kwanza na mtihani wa kwnza wa intern akili lazma zimrudi..
Kama ni mwanafunzi tuseme yuko mwaka wa nne kakutibu leo..
Nena kamchek tena akiwa yupo intern kakaeibia kumaliza kama atakuwa na hiyo Tabia njoo nikupe pesa
[emoji3][emoji3] huku vijijini ndiyo tabu kabisa yaani medical attendants , lab technicians wote mtaani wanaajiita madokta na wanaaminika ni madaktari sasa sikilizia diagnosis zao kwa wagonjwa utaishia kushika kichwa na kucheka .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wengine Ni mtaalmu wa Mabara Sasa unalazimishe akusikilize Unaumwa nini na umemkuta Phlebotomy Asipokusikiliza unaona umenyanyaswa Wakati kazi yake ni kuchukua Sample yake tu...
Ila hajui kwamba hata yeye ana Haki ya Kukataa Muhudumu kama Hamuelewi Tabia zake
Hahaha 🤣🤣🤣[emoji3][emoji3] huku vijijini ndiyo tabu kabisa yaani medical attendants , lab technicians wote mtaani wanaajiita madokta na wanaaminika ni madaktari sasa sikilizia diagnosis zao kwa wagonjwa utaishia kushika kichwa na kucheka .
Sasa hao akikutana nao ndugu yetu anasema madaktari hawapei attention kwa wagonjwa , sasa atakuwaje attention wakati muda huo anaiangaisha akili kwa kitu asichokijua kikubwa apate sifa mtaani
Huyu Jamaa case yake Ni tofauti maana yeye amekosa pesa Ya consultation Tena bahati mbaya Muhimbili....Mmmh sidhaniAsante kwa ufafanuzi mzuri🙏
Msaidieni huyu mgonjwa mwana JF basi..
DOKEZO - Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...www.jamiiforums.com
Hao wamtaani hasa manesi unakuta umri umeenda kidgo ni mafundi kuliko hata Md mkuu.[emoji3][emoji3] huku vijijini ndiyo tabu kabisa yaani medical attendants , lab technicians wote mtaani wanaajiita madokta na wanaaminika ni madaktari sasa sikilizia diagnosis zao kwa wagonjwa utaishia kushika kichwa na kucheka .
Sasa hao akikutana nao ndugu yetu anasema madaktari hawapei attention kwa wagonjwa , sasa atakuwaje attention wakati muda huo anaiangaisha akili kwa kitu asichokijua kikubwa apate sifa mtaani
Na wenyewe ni binadamu. Hivyo muwachukulie. 😋Umenikumbusha juzijuzi nilienda hospital kuchoma sindano daktari akanambia njoo nikuchome huku nimekupakata ili isiume😂