Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Huku hamna kuuza sura kama insta au Fb, wala hamna umbea wala mambo ya kuchambana! Huku ni kwa magreat thinker. Kama una akili ndogo huwezi fit huku
 
Ni kweli Kwa kiasi kikubwa.

Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.

Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.

Wawili wanasoma Chuo.

Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.

Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuongopea tu, wanaijua haswaa! Ila wanaogopa kujiunga humu makavu live...na wengi hawaipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…