Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafanya siri mkuuIla ht mm mademu wote ambao nmewahi kuwa nao na nnaowajua hawajui chchte kuhusu Jf asee,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe gizani ukisikia kelele tu ujue limempata.
Leta mada, tujadili Kwa hojaNa ww una hoja??
Factwatu wanaopenda umbea umbea kupost post picha wamebinua makalio afu wenye exposure ndogo huwezi kuwakuta kwenye serious forums kama huku.
Kama kweli vileee[emoji28] [emoji28]hata mashuleni, makazini wale mademu wakali wanakuwaga mazero brain
G.O.M.D
Yani ndo maana nakupendagaVichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
Hahahaaaaa!!Haahahha asipotulia naanza mbonda navyo mgongon lol
Hahahaaaaa!!
Kumbe vinaweza kutumika kama silaha pia! Safi sana.
Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
HahahaaaaKwani aliyepigwa risasi alienda mwenyewe Nairobi?
Utapelekwa tu na wewe,subiri risasi..