Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kicheko kibaya Lione na mishavu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata mashuleni, makazini wale mademu wakali wanakuwaga mazero brain
G.O.M.D
Tangazo la kwamba unafahamiana na ma starNi kweli Kwa kiasi kikubwa.
Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.
Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.
Wawili wanasoma Chuo.
Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.
Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie mzee mwenzngu, mbona umetoa macho hivyo mama?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mzee mwenzangu
Unaweza ukawa unachati na mzazi wako bila kujuaJf tamu sana...mnaweza kukutana wana jf ila msijuane hata mmoja
La kufunguka bila woga humu jf uko sahihiNi kweli Kwa kiasi kikubwa.
Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.
Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.
Wawili wanasoma Chuo.
Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.
Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekukuta nini?Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wenye akili timamu ndio tupo humuAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wao tu, mimi kitaani nimewahi uliza watu kadhaa madukani na wanywa kahawa, ktk watu karibu 50 ni mmoja tu ndo aliniambia anaifahamu jf ingawa hana account!Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf sio popular kwakweli, sijui kwanini, hata ninapofanyia kazi nikizungumzia jf hawanielewi.
Ila mkuu mbona kama umetutupia dongo sie tulofanana na babu zetu!!
Duh!!Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo avatar ndo demu wako huyo??