Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Ambao bado hawajajiunga sio watu makini maana humu Luna watu makini wengi isipokuwa Yesuz 2 na ID zake nyingne
 
Ni kweli Kwa kiasi kikubwa.

Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.

Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.

Wawili wanasoma Chuo.

Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.

Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo la kwamba unafahamiana na ma star
 
Mimi wananiuliza, mbona nimepotea FB ninawajibu Niko JF, wanashangaa.
Kwa bahati mbaya Instagram sipo kabisa.

Sasa Fb nikafanye nini wakati Jf napata kila kitu.
Sitoki hapa
Waiter niongezee Maji bariidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kwa kiasi kikubwa.

Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.

Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.

Wawili wanasoma Chuo.

Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.

Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
La kufunguka bila woga humu jf uko sahihi
 
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wenye akili timamu ndio tupo humu

Humu mapicha picha sio mahala pake

Watoto wadgo ndio wapo ista na fb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wao tu, mimi kitaani nimewahi uliza watu kadhaa madukani na wanywa kahawa, ktk watu karibu 50 ni mmoja tu ndo aliniambia anaifahamu jf ingawa hana account!
Jf bado sana kujulikana, alafu kingine kinafanya watu wa humu wadhani jf inakulikana ni inakuta mtu mmoja ana id karibu tano! Ana id za kila jukwaa!!
 
Jf sio popular kwakweli, sijui kwanini, hata ninapofanyia kazi nikizungumzia jf hawanielewi.

Ila mkuu mbona kama umetutupia dongo sie tulofanana na babu zetu!!

Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!

Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram

Tutake Radhi kwa hiyo sisi tuna sura ngumu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu

Sent using Jamii Forums mobile app

Yamekukuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo avatar ndo demu wako huyo??
 
Back
Top Bottom