lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
lohUsicheke sana utajamba
Ha ha ha haaAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana
Hahahaaaa! Hata mimi naona.Haijatangazwa sana. Hata mi ni mkali na sina hiyo jf
hahahaSababu mademu wakali na jf ni sawa na Ardhi na mbingu.
Kama unabisha tuma picha yako
Mkuu wala hujakosea sanaAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Point of timeJF ni kama usalama wa taifa, mnafanya kazi pamoja lakini hamjuani kwa sura mnajuana tu kwa code name na still kazi(mijadala) inaenda.
Ili uimidu JF lazima usiwe na shobo la kujulikana kwa watu lakini pia inabidi uwe smart upstairs.