Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Ukikuta mwanamke hapa ni the likes of rebeca gyumi,jokate kabla hajatoka na diamond na kiba,Faraja nyalandu na kina irene kiwia hata urembo wao sio plastic wasomi,wana akili wanajielewa ...ndio basi sio maceleb hawaonekani oyerrrrrrr
 
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haa
 
Nakumbuka mwaka 2011 kuna broh wangu alikua mpenzi sana wa jf. Nilikua namuona anazingua sana na nilikua nafikiri huku ni siasa tu so nikawa na mchukulia broh kama mzee. Mwaka mmoja baadae 2012 nikaanza kupitia jf kujua hasa kinachomfanya broh atumie muda mwingi kuhangaika mtandaoni. Nilianza kupita kama guest member na nilikua nahofia sana kujiunga coz nilikua naamini bado sipo vizuri katika kujenga hoja. Naomba nikiri kwamba by that time kulikua na watu makini sana jf tofauti na sasa. Miaka mitatu baadae 2015 nikachoka kua msomaji tu pasipo kuchangia basi hapo ndipo nikafungua ukurasa wangu .
Naomba nikiri kwamba sijawahi kujutia kua member wa jf na nilichogundua jf haijaribiwi once you test it you become addicted. So hao ambao hawajawa member wasithubutu kutest hakika hawataacha kujiunga.
 
no,kuna time nilienda benk ya crdb'dada wa mapokezi alikuwa ka login jf kwa pc ya ofsin tena nilipofika mi akaminimize file uku akitabasamu bila shaka alikuwa mmu
 
JF is not for beautiful girls/ladies but for smart girls/ladies...ndo maana humu jf wengi wao wanauwelewa mpana wa mambo na wengi ni wasomi, wakati mwengine tu kutegemeana na mazingira hujitoa ufahamu lkn all members in here are smart.
 
Huo sio utani mzuri kabisa wewe unamfahamu mtoto mzuri emmtya au umekurupuka mkuu
 
Mtu niliyeona ameinstall app ya Jf ni doreenandy(deeandy),alikuwa mtangazaji clouds..niliona kwenye video aliyopost kwenye insta story..najiulizaga hivi member wengine mbona hata sigumiani nao kitaani..But all in all,jf ni kwa watu smart kidogo kichwani
 
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala hujakosea sana
 
Back
Top Bottom