Kiume3000
Senior Member
- May 17, 2021
- 180
- 218
Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali
#Dar_to_mwnza,
#Dar_to_mbya,
#Dar_to_kgma,
#Dar_to_Arusha
kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu bila kujali abiria wao mifukoni mwao kuko vp, chakula cha kawaida sna unakuta elfu 7 elfu 8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo alafu kidogo sana, hvi wanadhani kila mtu anapesa ya kununulia hicho chakula, jana nilikuwa natoka Arusha kuja dar tulipo fika sehem ya chakula nilitamani kulia niliongozana na mom mmoja mwenye watt wa 3 alivyo ambiwa chakula cha bei ya mwisho ni elfu 7 alikuwa mnyonge sana na alikuwa na elfu 5 tu ikambidi anunue soda na biscuit roho iliniuma sana, sasa ombi langu kwa serikali itoe sheria kwa mabasi yote yawe yana simama kwenye mji ulio na huduma kwa abiria wote sio kutupeleka maeneo ambayo wana masilahi nayo, inaumiza sana tusambaze hii kwa ma group mengi tusikike tusiwe wajinga,
kwa tetesi nilizo sikia dereva akipeleka basi sehem ya hotel, yeye binafsi anapata huduma ya chakula bure pia na watumish wake wote wanapata chakula bure na posho wanapewa kwa week au mwezi sasa iweje masilahi yao yatutese sisi abiria?
Tupaze sauti kwa viongozi #Wabunge na viongozi wote wa juu kuwa hii ni 2021
🙏🙏
Nimekopi sehemu hii meseji ngeni hawa watu wanania gani