Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

kwa hiyo unataka kusema bi. pamela bukumbi aliyelalamika kunyanyaswa kwenye mizani ya vigwaza naye anatembea na njemba kwenye safari zake?
 
kwa hiyo unataka kusema bi. pamela bukumbi aliyelalamika kunyanyaswa kwenye mizani ya vigwaza naye anatembea na njemba kwenye safari zake?
Kwa mtazamo wako unaonaje
 
Wengine ni wake zao ila hii ni kwa wale wanaopiga Safari za local Tu humu humu ndani ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…