That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Nakazia mkuu, Gari huwa inaongea haswaa, so ni kazi kwako kusikiliza na kuijali...Hata siwaelewi kitu gani fundi anaweza kushindwa kutengeneza kwenye hizo Nissan zilizopo mnazosema ni mpya...Maana Nissan nyingi ni ngumu kidogo au ninyi ndio mnachelewa kutengeneza gari ikihitaji matengenezo haraka maana gari huwa inaongea inapokua na tatizo kwa mtu wa magari hata Kama sio fundi utajua unaanzia wapi...
Yaani unakuta mtu anasikia kuna abnormal sound halafu anaipotezea kumbe hapo hajui kuwa anazidi kuharibu parts za chuma yake...