Kwanini magari aina ya Nissan yanasumbua mafundi kwenye matengenezo?

Swali!! Thermostat kazi yake ni nn kwenye engine inafanyaje kazi ,, na iweje ukitoa gari inachemsha ikirudi haichemki
 
Vipi umewahi kubadili oil ya gear box..?
Kama ndiyo, uliweka oil ya aina gani..? tuanzie hapo kwanza
Tayari tena ilifunguliwa gear box yote. Nikaweka ya aina yake ambayo namba zake ziko kwenye stick ya gear box oil. Kuna mtu kashauri gearbox mounting na niweke tena oil. Nitajaribu hayo mapendekezo. Ila tukubali mafundi wa Nissan ni wachache mjini Dar. Kuwapata sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…