Kwanini Magufuli alichukiwa ndani ya CCM?

Umesema ukweli mtupu 100%
Mungu akubariki.

Sasa hivi CCM imerudi ile tuliyoikataa awali.

Wamehalalisha tena wizi.
Kama kweli huo uchunguzi uligundua hayo madudu dawa ilikuwa kuiweka hiyo report public ili wenye chama Chao na taifa kwa ujumla wafahamu na pengine wangempa support.

Wao hiyo ripoti ikawa siri yao na wakawa wanaitumia kama silaha kushughulikia watu kimya kimya.
 
Umenena jambo msingi sana akina Masanja Mkandamizaji waliokuwa wanalala kwenye daraja LA ubungo wanamsifia leo wanasifia kusafiri kwa mama
 
ccm ni genge la mafisi wanaotafutana.
JPM hakuwa na mizizi ya mafisi wenzake.
Akaanzisha makundi yake yaishi katikati ya mafisi.
Alitaka kujaribu kuwaonyesha watu kuwa CCM haina mwenyewe lakini wakamwambia haiwezekani wenyewe tupo
 
Mwendazake ameacha majeraha kwa Watanzania wengi baada ya kuwavurugia mipango yao ya maisha.

Legacy yake itakuwa ni Rais wa Tanzania aliyekuwa muuaji, mwizi, mwongo, mkandamizaji wa demokrasia ambaye alikataa uwapo wa COVID19 na akafa kwa hiyo hiyo.

Wasukuma msipoteze muda na threads nyingi kujiffanya mnamkumbuka. Harudi kamwe, anaendelea kuoza huko jehanam
 
Kwa upinzani sawa ila ndani ya CCM kosa lake ni nini hadi wamwite mshamba?
 
CCM,ni mchwa hasa ukiziba mianya yao ya upigaji,CCM sasa hivi imebaki ya ukoo wa Makamba,Kikwete,Mwinyi,Nape,na mchwa wamerudi kwa Kasi sana wanatafuna hadi magodoro,tuwe wapole tu sababu nasi ni vigeugeu sana!
 
Alitaka kujaribu kuwaonyesha watu kuwa CCM haina mwenyewe lakini wakamwambia haiwezekani wenyewe tupo
Aligundua kwa kuchelewa akajiimarishia ulinzi unaonekana na usioonekana lakini wapi??
 
ccm ni genge la mafisi wanaotafutana.
JPM hakuwa na mizizi ya mafisi wenzake.
Akaanzisha makundi yake yaishi katikati ya mafisi.
Ndugu Zangu Hata Ccm Majizi Yapo
 
Kwa upinzani sawa ila ndani ya CCM kosa lake ni nini hadi wamwite mshamba?
Alikuwa ni mshamba kweli kwa kuwa hakuwa na uwezo wa namna ya kuunganisha makundi hasimu ya wakati wa kampeni.

Alidhani akijaza ndugu zake kwenye Serikali kama akina Kalemani, Killangi, Makonda, Dotto James, Bashiru Ally, basi atakuwa ameweza kukamata nchi.

Alikuwa anakula mahindi ya kuchoma barabarani, anagawa hela taskimu kwa baadhi ya wananchi, anaongea matusi kwenye majukwaa. NDIYO USHAMBA WENYEWE

Alikuwa anatongoza na kutaka kulala na kila mwanamke kama Jokate, na wengineo
 
Ushamba ukamfanya awe mbabe hadi kasahau kuwa ana kiberiti moyoni.
 
Nukuu
  1. Majizi makubwa yamejificha kwenye chama changu CCM
  2. Watu walisema Bashiru ni CUF nami nikasema huyohuyo wa CUF ndiye nafanya naye kazi
 
Magufuli alichukiwa ndani ya ccm kutokana na sababu zifuatazo

1) Hakutoka kwenye kundi lolote lenye ushawishi ndani ya ccm(kundi la lowasa na Membe)

2)Alikuwa mchapa kazi na anapenda haki wapigaji na wazee wa miundo mbinu walimwona mwiba

3)aliwapiga chini waliojifanya wanakijuwa chama na serikali kumbe ni wachumia tumbo tu na wachache aliowateua ni busara za wazee kuwa wape nafasi wameshiliki kampeni bila fadhila ya cheo wataficha wapi sura zao na walioonyesha dharau na kukengeuka aliwapiga chini baadae

4)chama kilitawaliwa na makundi kwahiyo kukwepa bias ya kundi fulani akabeba wapinzani na wasomi wa vyuo vikuu vyetu na kuwapa vyeo kutengeneza safu ambayo haina kundi na ccm wengi na watoto wao wakawa benchi

5)uhakiki wa mali za chama chini ya mwenyekiti wake Dr Bashiru uliwavua nguo wanaccm vigogo na kurudishwa mali zote kwenye chama na kuregister upya kwenye mfumu na hapa ikazaa chuki dhidi ya Bashiru nasikia JPM alimbana Dr Bashiru na tume yake wakimaliza kukagua mkoa mmoja wanaenda kufungia mahesau Ikuku kwa mzee mwenyewe kama alivyobana kwenye tume ya madini kwahiyo no kushawishiwa ili kubadilisha mambo
6)aliminya mirija ya ulaji ya watu bila kujali nafasi ya m2 ndani ya chama na serikali akawataka wasajili mali zao na kulipa kodi

7) hakupenda sherehe na vikao ndani ya chama maana waccm wengine ndo ilikuwa ndo sehemu yajipatia ridhiki makanjanja wengi na wanamtandao hali zao zikawa hoi

8)waccm waliomuhujumu wakati wa kampeni na baada ya kampeni aliwashughulikia na wengine kuwapa makavu live kuwa yeye hapendi unafiki

Kwahaya machache yalimfanya JPM achukiwe ndani ya chama
 
Hakika 100%
Kuna watu walitaka wateuliwe wao kuwa waziri mkuu ila aliyeteuliwa hawakutegemea chuki ilianzia hapa pia
 
Alianza sera za kuwakumbatia na kuwanunua wzpinzani na kuwapa vyeo.
Na aliwadukua kutumia TCRA viongozi pendwa na waandamizi ili kuwakomoa tu.
Kinana na Makamba wamepitia hilo.
Huwa unajifanya mjuaji wakati hujui kitu!

Andiko zuri na linaeleza ukweli wa mambo
 
We ni mpumba.vu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…