igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Kama kweli huo uchunguzi uligundua hayo madudu dawa ilikuwa kuiweka hiyo report public ili wenye chama Chao na taifa kwa ujumla wafahamu na pengine wangempa support.Umesema ukweli mtupu 100%
Mungu akubariki.
Sasa hivi CCM imerudi ile tuliyoikataa awali.
Wamehalalisha tena wizi.
Wao hiyo ripoti ikawa siri yao na wakawa wanaitumia kama silaha kushughulikia watu kimya kimya.