Uchaguzi 2020 Kwanini Magufuli anakubalika Kanda ya Ziwa tu

Uchaguzi 2020 Kwanini Magufuli anakubalika Kanda ya Ziwa tu

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Ni wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura.

Kanda ya ziwa hakujaripotiwa kiasi kikubwa Cha uhuni kwakua Magufuli na CCM mpya wanakubalika.

Sehemu zote zenye jamii ya Ntwmiship yaani Tabora, Shinyanga, Mwanza Geita huko Kuna mfanano wa lafudhi na lugha kiujumla. (Ethnicity)

Ni wazi pia maeneo haya yametumia Kodi kubwa zaidi ya wananchi kuliko maeneo mwngine. Mfano SGR, MELI MPYA, VIWANJA VYA NDEGE , BaRABARA, KUHAMIA DODOMA , REA nk.

Kwa jinsi maeneo haya yalivyoenziwa Chini ya kaulimbiu ya * Hawa ndio walionichagua* Basi huko ndiko pekee uchaguzi 2020 utakua reality.

Huku kwingine kwenye ukarabati wa reli ya zamani , mabehewa ya kale wenyewe wanajua itakuwa ngumu.
 
Magufuli tano tena!
Vurugu za uchaguzi zimepangiliwa from a central point . Zipo very sytematic .

Wataendelea kuengua kwa phase na hakuna mbunge wa upinzani atakayeshinda hata mmoja. This thing is well coordinated ikihusiaha taasisi zaidi ya nne . Kila Jimbo na staili yake na wakati wake.

Kwa mtizamo wangu wapinzani wafanye kampeni Kama njia ya kuelimisha wananchi kwa ajili ya 2025 Ila huu wa 2020 wataishia kuwehuka
 
UKABILA Ni nguzo muhimu sana Kanda ya ziwa.Pia Kanda ya ziwa Hakuna Cha mjomba Wala shangazi wanaona hivyo wote ni ndugu na wanaongea lugha moja na wanazaliana Sana. Ila hapa chato pia warundi na wanyarwanda ni ndugu zetu.
 
Ujenzi wa chato na mbuga ya rais ndio mafanikio ya haya maccm awamu ya tano.

Sasaaaa.... Baassss...

Rais ni Tundu Lissu
 
Hadi hapo mtakapopambania tume huru, isiyofungamana na yoyote, hapo ndipo haya mambo ya kukubalika kule nakukatalika huku yatakuwa na nafasi, otherwise it's a big win for CCM and Yohana.
 
Angalia TBC1 sasa halafu urudi hapa ubwabwaje tena!!
 
Back
Top Bottom