Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Ni wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura.
Kanda ya ziwa hakujaripotiwa kiasi kikubwa Cha uhuni kwakua Magufuli na CCM mpya wanakubalika.
Sehemu zote zenye jamii ya Ntwmiship yaani Tabora, Shinyanga, Mwanza Geita huko Kuna mfanano wa lafudhi na lugha kiujumla. (Ethnicity)
Ni wazi pia maeneo haya yametumia Kodi kubwa zaidi ya wananchi kuliko maeneo mwngine. Mfano SGR, MELI MPYA, VIWANJA VYA NDEGE , BaRABARA, KUHAMIA DODOMA , REA nk.
Kwa jinsi maeneo haya yalivyoenziwa Chini ya kaulimbiu ya * Hawa ndio walionichagua* Basi huko ndiko pekee uchaguzi 2020 utakua reality.
Huku kwingine kwenye ukarabati wa reli ya zamani , mabehewa ya kale wenyewe wanajua itakuwa ngumu.