Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahabusu lazima asotee mapema hamna kulembwa huko hizo ni pesa za wananchi masikini wa Africa hamna kula Bata ni mwendo wa msoto tuFrom your thoughts to God's ears. Amen
Wewe ni zaidi ya shetani. Unajua mahabusu wapo watu gani?Nadhani ni katika hali ya kuwadhibiti wasitoroke
Kuna watu wana kesi mbaya ukiamua kuwasafirisha kama watalii wakarudi mtaani hali itakuwa mbaya.
Wako chini ya ulinzi laZima wadhibitiwe.
Ukiwa mahabusu utafungwa pingu, kuchuchumaa n.k kikubwa tukutane na vyombo vya haki ndo vitaamua hatima yako
Sawa chief.Mahabusu lazima asotee mapema hamna kulembwa huko hizo ni pesa za wananchi masikini hamna kula Bata ni mwendo wa msoto tu
Watu mliozaliwa na kukulia bush kiwango chenu cha ustaarabu ni sifuri. Nadani inachangiwa pia na kukosa elimu sahihi pamoja na exposure. Ungekuwa umesoma na kuelimika hungetoa mawazo kama haya.Mahabusu lazima asotee mapema hamna kulembwa huko hizo ni pesa za wananchi masikini wa Africa hamna kula Bata ni mwendo wa msoto tu
Wanakosea sana hao askari kuwachukulia watuhumiwa/mahabusu kama wahalifu.Sioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa.
Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC wakaketi wote na kupewa magazeti wayasome wakati wakielekea mahakamani?
Hatuoni kuwa kama taifa tunafanya makosa yale yale wanayoshitakiwa mahabusu, (ya kuzikanyaga haki za wengine)?
Kwahiyo tumeamua kuwa taifa la kutafuta haki kwa kuzikanyqga haki za mahabusu?
View attachment 3088487
View attachment 3088488Picha: Watuhumiwa wa ubakaji wakipandishwa kwenye gari la polisi
Boya wewe elimu uliyokua nayo inakusaidia nini zaidi umekua masikini pesa ndio Kila kitu duniani wewe kula hayo makaratasi Yako sasa mahabusu ni fara lazima polisi wamsotesheWatu mliozaliwa na kukulia bush kiwango chenu cha ustaarabu ni sifuri. Nadani inachangiwa pia na kukosa elimu sahihi pamoja na exposure. Ungekuwa umesoma na kuelimika hungetoa mawazo kama haya.
Mkuu asante. Wewe unaonekana umesoma na kustaarabika. Unajua Afrika hususani Tanzania bado kabisa watu wengi hawajui psychology ya makuzi vs uhalifu, adhabu vs tabia njema etc. Wengi tunadhani ukatili na matumizi ya nguvu ndiyo njia sahihi ku deal na uhalifu. Ingekuwa hivyo basi mitaani kusingekuwa na vibaka ukizingatia kuwa akipatikana anachomwa moto.Lengo la kujengwa jela ilikuwa mahususi kubadilisha tabia za watu ili baadae ikageuka kuwa sehemu ya kuwafanya watu wawe makatili zaid
yaani tumerithi sheria za wakoloni alafu utake kupetiwa! kwani ww hujasikia watu wanahamishwa au wanavunjiwa nyumba kupisha mradi fulani watawala wanadai wametumia sheria ya mwaka 1932 mara 1958 ili tu wasilipe fidia ya maana!Kati ya jeshi la hovyo la kwanza ni Magereza kisha Polisi
Hao wote maisha yao magumu sana maana wamewekwa kuonea watu
Pal, money is not everything. To me, a good life is more than just money. I know that perhaps you were born into poverty, which is why you think money is everything. Someone fortunate enough to be born into a well-off family, receive a good education, and have exposure cannot be as ignorant as you are. Even writing in kiswahili is a struggle for you, showing that civility is something unfamiliar to youBoya wewe elimu uliyokua nayo inakusaidia nini zaidi umekua masikini pesa ndio Kila kitu duniani wewe kula hayo makaratasi Yako sasa mahabusu ni fara lazima polisi wamsoteshe
Endelea kuandika viingereza vyako uchwara huku mfukoni ukiwa umejaza umasikiniPal, money is not everything. To me, a good life is more than just money. I know that perhaps you were born into poverty, which is why you think money is everything. Someone fortunate enough to be born into a well-off family, receive a good education, and have exposure cannot be as ignorant as you are. Even writing in kiswahili is a struggle for you, showing that civility is something unfamiliar to you
Ila kwa hao wafiraji nani hajaona video yao.? Kulikuwa hata hakuna haja ya mjadala week moja tu ilitosha kutoa hukumu.Weka akiba ya maneno ndugu yangu. Ikiwa uko hai usimalize maneno yote. Sio kila unaemuona kwenye defender au karandinga ni muhalifu. Dunia ina mengi.
Kubwa ni kumuomba Mungu wako akulinde usifike huko ila sio kudhihaki mahabusu wa leo ikiwa hata wewe unaweza kuwa mahabusu kesho, tena bila hatia.
Did you even get it? Nina..... Mabumunda utayajua tu! Tatizo lako ni kuzaliwa kwenye umaskini uliopitiliza kiasi cha kudhani kila mtu ni kama wewe!Endelea kuandika viingereza vyako uchwara huku mfukoni ukiwa umejaza umasikini
Hao ni Mahabusu wachovu wasio na pesa.Sioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa.
Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC wakaketi wote na kupewa magazeti wayasome wakati wakielekea mahakamani?
Hatuoni kuwa kama taifa tunafanya makosa yale yale wanayoshitakiwa mahabusu, (ya kuzikanyaga haki za wengine)?
Kwahiyo tumeamua kuwa taifa la kutafuta haki kwa kuzikanyqga haki za mahabusu?
View attachment 3088487
View attachment 3088488Picha: Watuhumiwa wa ubakaji wakipandishwa kwenye gari la polisi
Endelea kukasirika na huo umasikini wako huku ukiwa mfukoni ni hamna kitu naona umeacha kuandika viingereza uchwara umasikini mbaya mpaka watu mnaandika lugha ambazo hamzijuiDid you even get it? Nina..... Mabumunda utayajua tu! Tatizo lako ni kuzaliwa kwenye umaskini uliopitiliza kiasi cha kudhani kila mtu ni kama wewe!
Pale sio sheria imetumika bali maeneo husika yalikuwa tayari kwenye mradi toka miaka hiyoyaani tumerithi sheria za wakoloni alafu utake kupetiwa! kwani ww hujasikia watu wanahamishwa au wanavunjiwa nyumba kupisha mradi fulani watawala wanadai wametumia sheria ya mwaka 1932 mara 1958 ili tu wasilipe fidia ya maana!
Naamini ilitumika kama mfano tu ila tunatofautiana uelewa.Ila kwa hao wafiraji nani hajaona video yao.? Kulikuwa hata hakuna haja ya mjadala week moja tu ilitosha kutoa hukumu.