Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyea kwenye ndoo haipo tena miaka hii mzee iliisha tokea 2015 huko nadhani
Paza sauti wasemee wewe mkuu
Whaaat? I wrote in Swahili after noticing that you are hesitating and don't understand what I wrote. Let's get to work if you understand. Turudi kwenye english, lakini usilielie tena. You know, a person who was raised in an environment of cruelty and poverty will inevitably be cruel as an adult and think that money is the solution to everything. I am in a very good place economically, educationally, and in terms of exposure, unlike you, who is naive.Endelea kukasirika na huo umasikini wako huku ukiwa mfukoni ni hamna kitu naona umeacha kuandika viingereza uchwara umasikini mbaya mpaka watu mnaandika lugha ambazo hamzijui
Uongo tuKuna jamaa yangu mmoja alifungwaga denmark,alikuwa ananiambia alikuwa anaona yuko kama hotelini tu 😄
Maghayo
Ova
Uanaharakati unawanyima fursa ya kujifunza. Kila kitu kina umuhimu wake. Mfano, mfungwa anakula mlo mmoja na kidogo si kuwa ni kumpa adhabu, ni kuhakikisha anapunguzwa nguvu ili asiweze kumdhuru askari anayemlinda etcBado kujisaidia kwenye ndoo.
Nani wa kuwasemea?
Kila mtu anadhani haimhusu Hadi yamkute.
Uanaharakati unawanyima fursa ya kujifunza. Kila kitu kina umuhimu wake. Mfano, mfungwa anakula mlo mmoja na kidogo si kuwa ni kumpa adhabu, ni kuhakikisha anapunguzwa nguvu ili asiweze kumdhuru askari anayemlinda etc
Hivi unaweza kulinganisha sisi na wao. Hata huko Marekani, mtu mweusi ni shida tu. Nenda London uone tofauti kati ya makazi ya weusi na weupe. Acheni uanaharakati mbuzi.Unajua tofauti ya mahabusu na mfungwa?
Vipi haki za binadamu hata kwa mfungwa, au hadi ikihusu wewe binafsi?
Kuna ka unyani fulani waafrika hadi katutoke, vinginevyo bado tupo tupo sana.
Vipi ulaya na marekani huko haki za binadamu hazifanyiwi ajizi?
Hivi unaweza kulinganisha sisi na wao. Hata huko Marekani, mtu mweusi ni shida tu. Nenda London uone tofauti kati ya makazi ya weusi na weupe. Acheni uanaharakati mbuzi.
Kama hawa ni kina Nyundo na wenzake hata wakipelekwa wakiwa wamekalia poti la mtoto la kunyea waeende tu hawa machoko hawana maanaSioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa.
Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC wakaketi wote na kupewa magazeti wayasome wakati wakielekea mahakamani?
Hatuoni kuwa kama taifa tunafanya makosa yale yale wanayoshitakiwa mahabusu, (ya kuzikanyaga haki za wengine)?
Kwahiyo tumeamua kuwa taifa la kutafuta haki kwa kuzikanyqga haki za mahabusu?
View attachment 3088487
View attachment 3088488Picha: Watuhumiwa wa ubakaji wakipandishwa kwenye gari la polisi
Nanukuu: "Na hata ikija kubainika haukuwa mhalifu, hakuna hata ataekuomba msamaha na huna cha kufanya!"Na hata ikija kubainika haukuwa mhalifu, hakuna hata ataekuomba msamaha na huna cha kufanya!
Mkuu; Umesema vyema na kutoa mfano hai. KongoleKuna kipindi marehemu Basil Pesambili Mramba akiwa waziri wa fedha aliambiwa ishu ya kuongeza bajeti wizara ya mambo ya ndani ili kurekebisha magereza akabeza hiyo hoja.
Akaja kufungwa yeye (mramba hakutegemea hata siku moja angekuwa mfungwa) ingawaje hakukaa sana jela akasaidiwa kwa parole ile ishu ya mazingira mabovu magereza ambayo marehemu mramba aliibedha ilimuumiza sana kwani ni ukweli aliokuja kukutana nayo nimetolea mfano huu kwa sababu Marehemu mzee mramba alikuwa family friend na hii ishu alishaongea kabla ya kufariki.
Baada ya kina mramba na yona kufungwa serikali iliboresha magereza kwa kununua mabasi ya kubebea watuhumiwa na kuachana na yale makarandinga ya kukaa chini na pia baadhi ya magereza hususani hapa dsm ukonga na segera yaliboreshwa mazingira kuacommodate watuhumiwa / wafungwa vip.
Ifike mahali watuhumiwa na wafungwa waangaliwe kiubunadamu
Naunga mkono hoja.